Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Ha ha unaijua f16 wewe? Hiyo silaha Ni nzito kiasi Kwamba hata Poland ( NATO) alitumia miaka Minne zaidi ilikuipata. Lakini pia Poland amekua akiomba kwa us Kwamba ndege Vita zake Mig 29 azitoe kwa Ukraine ili ye aongezewe f16.lakini wapi!
Nb. F16 si kitisho kwa Urusi Kama ilivyo b52 stratofotress, b21 skyraider, au B 1 .


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tu

Kwa tekinolojia ya jeshi Russia katangulia mbele sana
Kwanini asizime ili himars zisimuumize
 
Yes maana kuna F16 nyingi tu ambazo Marekani na washirika wake wanataka achana nazo
 
Russia is just overrated

Wamekuwa wakisifika kuwa wana ndege ila ndege hizo zimeshindwa attack Kyiv...

Russia ajisifu tu kuwa ana Nukes ila silaha zingine bado yuko low end...

Ila bora yeye kaonesha uwezo wake, bado mchina hajapigana vita
 
Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tu

Kwa tekinolojia ya jeshi Russia katangulia mbele sana
Hii mada nikubwa kwako bro , ungepita tu kimyakimya. Light kama Russia angekuwa na huo uwezo operation yake ingekuwa tayari imeisha kitambo, ukiwa na air supremacy maana yake unauwezo wa kumdhibiti adui ashindwe kusonga mbele wala kupata supply. Kama huna uelewa kuhusu silaha na mambo ya vita jifunze kwa wenzio.
 
Russia is just overrated

Wamekuwa wakisifika kuwa wana ndege ila ndege hizo zimeshindwa attack Kyiv...

Russia ajisifu tu kuwa ana Nukes ila silaha zingine bado yuko low end...

Ila bora yeye kaonesha uwezo wake, bado mchina hajapigana vita
Mchina humpati vitani kizembe. Russia husifika kwa artillery zaidi kuliko mengine
 
Asee ninapata shida kwenye kuona NOTIFICATION tokA tarehe 17.6.22 mpaka leo.
Nimejaribu kuapdate, ku install na install upya lakini wapi.
Naomba kusaidiwa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unatumia Tapatalk? Achana nayo tumia Browser ingawa ina mambo mengi kama hauna muda wa kutosha. Au tumia App utakayopakua kutokea Browser sio Play Store/App Store
 
Tukiweka ushabiki pembeni,UKRAINE pasipo kuwa na air cover ni ngumu kupata mafanikio kwenye hii vita maana unapiga mizinga kwa adui ila mwisho wa siku utaitaji kusogeza wanajeshi na vifaru kwa ajili ya kuchukua sehemu iliyoachwa na adui.kama una fighter na attack aircraft ni kazi bure maana vikosi haviwezi kufika kokote kule.
 
Do you know why you don't have to chose any of these technology? They are default on your application which you don't have access or option to change , unless you use Russian made navigation application which is based on GLONASS , which means it can still work , that is the reason of integrating different navigation system on your mobile phone ..you could opt to chose a navigation system of your like sio lazima kutumi google map naona umekalili hapo
 
Na ndo maana Himars inafanya kazi ya kuyaharibu tu.
Wacha weeee!! Nawapenda sana Pro NATO unapopata ka issue MNAVYOPIGA VIGELEGELE NA KUFUNGA KANGA KIUNONI NA KUNYANYUA VIDOLE JUU " Eeeeeh, Mtatujua sisi ni nani, kitu HIMARS".

Yaani Pro NATO mnakwenda na tune ya USA, hamjui kuwa USA ni baba la uongo na Propaganda duniani. Maadam HIMARS ni product ya Marekani ni lazima ikwezwe, Itangazwe kwa nguvu zote na hata IKITOKEA IMEHARIBIWA ikanushwe kwa nguvu zote.

Sasa mdigo wewe na wenzako mnabinua viuno kila kinachoelezwa na Shoga Mkuu
 
Ndyo maana nakwambia wee jamaa ni kilaza unasoma article zilizoandikwa na west unaisi watasifia vifaa vya mpinzani wake mkubwa zaidi ya kuonyesha madhaifu ata mfumo wao wa makombora waliusifia sana Ila badaye waliona ni WA hovyo Hadi mwaka Jana wakajiunga na kampuni ya Israel ili kutengeneza mfo imara. Rusia wengi tulikuwa hatuijui na wengi mlikuwa mnasema uchumi wake ata Jimbo ya California umeupita Ila wote tumeona uhalisia .kwenye maswla ya technology wala usiisifie sana USA na ukabeza nchi nyingine wao ni maarufu lkin hawako vyema kivile kama
 
Hoja yako ni ipi?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Achana na uyoo kilaza anaisi wote tuko empty kichwani marekani mwanzo WA vikwazo walizuia ata GPS Yao kutumika kwenye ndege za kiraia za urusi lakini nn kimetokea wamefungua GBS Yao na maisha yanakwenda anasema kuwa Rusia kapigwa satelite na China na USA hajui kuwa kila taifa Lina maamuzi yake ni satelite gani ziwepo angani Kwa manufaa yake kuwa na nyingi au chache haibadilishi maana kwamba Rusia ndyo kinara WA maswala ya anga duniani
 
Kati ya California na Russia ipi nchi yenye uchumi mkubwa?

Useme huo uhalisia ulioufahamu sasa.
 
Acha tantarira,

Taja simu mbili tu ulizowahi kuziona zinatumia GLONASS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…