Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Hiyo technology wangeitumia Afghanistan wangewamaliza wa Taleban na vita isingechukua miaka 20
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha longolongo
Taliban sio jeshi, ni ideology na chama cha siasa kile, na isitoshe Marekani ilikitimua madarakani. Suala lililobaki ni Afghanistan yenyewe kujilinda, yaliyotokea after Marekani kuondoka haimhusu jeshi lake sio kwa ajili ya kulinda nchi zisizo na manufaa. Unless kama ulitaka wafe wafu kibao, Marekani ilikaa Afghanistan miaka 20 hao Taliban wakijificha milimani leo Marekani kaondoka mnakooa. Miaka 20 yote wako mafichoni nchini kwao wenyewe
 
Ha Hakuna mtu muongo kwenye jamii forrum kawa wewe.comment zako ni za uwongo na za maaba kwa USA.TALIBAN walikuwa wanamiliki majimbo mengi tu wala hawakuwa ni watu wa kujificha kwenyee milima,wewe unataka kutuaminisha kuwa Taliban walikuwa wanapigana vita ya kuvizia wskati sio kweli
 
Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tu

Kwa tekinolojia ya jeshi Russia katangulia mbele sana
 
Unaona mbali Sana, yaani inaonekana wazi kabisa vita ndo imeanza hata mimi nimeona uk inatoa mafunzo ya kutumia mizinga na sehemu nyingine inafundisha makurutu kalibu elfu Kumi wa ukraine
Marekani nayo inawatraine Wanajeshi 600 wa Ukraine jinsi ya Kurusha na kuendesha ndege za Kivita za Marekani (F-16). Wanamaliza Mafunzo mwezi December mwaka huu. Kwahiyo hii Vita Kama sio Makubaliano ya Amani,Tujiandae Vita kuwa Kubwa Sana mpaka ndani ya Urusi.
 
Wakati wewe unasema Ni Operation ndogo TU,Wakati huohuo Urusi imeanza kuwasomba maelfu ya Wanajeshi wa akiba kwenye mpaka wake na Ukraine. Pia,Wanajeshi wa Beralus nao wanajiandaa Kuingia vitani upande wa Urusi.

Sasa tunaomba utueleze,Ni Operation gani ambayo mpaka Wanajeshi wa akiba wanaandaliwa kwenda kutoa msaada kwenye uwanja wa Vita tangu Dunia iumbee?
 
Mkuu sio wanajeshi tuu kuna taarifa zimetoka juzi Urusi anashawishi wafungwa wake wajitolee kwenda vitani mstari wa mbele kwa ahadi ya kulipwa ruble pamoja na kusamehewa kifungo endapo watarudi salama.
 
Uzi umeharibika kwa kuingiza team na ndio shida yetu vijana wa Tanzania badala kujadili hoja watu wanaanza kuleta mbona Urusi hivi marekani vile.

Uzi ulitaka kujua nini kipo behind HIMARS na kwanini zimekuwa game changer. Kuna comments chache sana atleast zimetoa insights nzuri za kuanzia.
 
Mkuu sio wanajeshi tuu kuna taarifa zimetoka juzi Urusi anashawishi wafungwa wake wajitolee kwenda vitani mstari wa mbele kwa ahadi ya kulipwa ruble pamoja na kusamehewa kifungo endapo watarudi salama.
Wafungwa wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi ?...kwani hawana askari wa akiba mpaka watumie hao wahalifu ?....

Anyway hivi Vita vimejaa propaganda nyingi sana kutoka kila upande.
 
Fuata hii link mkuu Putin is allegedly recruiting prisoners and paying £3,000 to fight for Russia in Ukraine
 
Mmh wew bana hebu fuatilia habari bila ushabiki. Russia ana uwezo wa kuzima satellite za babeberu zote zisome ukungu tu

Kwa tekinolojia ya jeshi Russia katangulia mbele sana
Hayo ni maandishi, ground mambo ni tofauti. Russia iliyoshindwa kufanya cyber attack kwa satellite za Elon Musk ndio iweze zuia za serikali ya Marekani. Satellites zinazotoa huduma ya internet ya Starlink nchini Ukraine ambazo ndio wanatumia kwa sasa baada ya Urusi kuharibu mitambo ya simu ardhini zimeshindikana kuwa hacked, majaribio yote waliyazima bila hata kuumiza kichwa wala kuomba msaada Idara ya Ulinzi ya Marekani.

Zelensky alimuomba Elon Musk apeleke Starlink nchini Ukraine, bila hivyo wasingekuwa na internet connection na mawasiliano mengi ya kijeshi wangekosa. Urusi walihack wakafanya cyber attack wakashindwa
 
Iskander-M huwa inakuwaga camouflaged msituni na hupiga high precise strike kuelekea Ukraine tena kwa umbali mrefu , lakini sijasikia zikisiwa sana kama hizo HIMARS , lakini ni silaha nzuri na West hawaziongelei
Ukiskia iskander M usiongee Sana. Wazungu wakisikia TU zinasogezwa kuelekea magharibi mwa Russia utaskia kelele nyingi kila Kona.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa maana unataka Russia awe mtumwa kama sisi atumie brand kama jina la hivyo au awe ni replica?
Russia wanna MRLS nzito na za kutisha zaidi Kuna hiyo iitwayo smertch, Uragan na Tos1A.
Kama hiyo TOS Ni ya kutisha zaidi coz hupekenyua Hadi mwamba na kutoa vili vyomo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…