Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Niambie silaha ya kimarekani ambayo Ni Siri Sana si Russia Wala China anaeijua.
Silaha zote si za Russia Wala Us zinajulikana kwa pande zote mbili.

Na huu ndiyo ukweli mchungu! Hayo mambo ni kwa nchi zetu, ila wenzetu wanajuana nje ndani
 

Kweli tupu
 
Kasahau juzi kule ulaya ROSCOSMOS walichapisha picha ya satellite walipo viongozi wa G 7. Tena waliifanya kwa utani na kejeli Kwamba kuonyesha walipo ( west) tupo( warusi)
Nb. ROSCOSMOS Ni satellite maalum ya jeshi la Russia.
Jamaa ana ishusha Russian military equipments ! Hizo silaha walizopewa mbona Ukraine wanapoteza maeneo ya mashariki.Ukifuatulia propaganda za western Europe utaona tofauti.
 
Iskander-M huwa inakuwaga camouflaged msituni na hupiga high precise strike kuelekea Ukraine tena kwa umbali mrefu , lakini sijasikia zikisiwa sana kama hizo HIMARS , lakini ni silaha nzuri na West hawaziongelei
Ni propaganda za Magharibi tu.Yaani HIMARS ndio iwe game changer!
 
Unaishi Ukraine? Maana neno nimeona limetawala maelezo yako
 
Napenda uwasilishaji wako wa hoja na jinsi unavyo mujibu mtu kwa utaratibu pasi na karaha/kukashifu.
 
According to viongozi wa Russia, wewe je?

Vijana Wa Russia wanaokufa vitani je?
 
Tupeane elimu tu kwenye uzi huu, ile ligi yetu ya Russia vs USA/NATO ihamie uzi mwingine.
 
4000/1225= 3.3 Mach ambayo ni speed ya Supersonic kama ndege vita ya Kimarekani F22 Raptor au ndege vita ya Russia Sukhoi Su-57!
F-22 Raptor na Su-57 zote hazifiki Mach 3, Raptor iko kama 2.2 hivi kama sikosei. Yenye speed kali ni SR-71 Blackbird ambayo ni reconnaissance aircraft ya Marekani, wanasema imestaafu ila inaweza rudishwa kazini any time. Kipindi inatengenezwa ilikuwa na uwezo wa outrunning air to air missiles. Kuna changamoto sana kutengeneza ndege ya zaidi ya Mach tatu, kama hiyo Blackbird skin yake ya nje joto linazidi 200°C ikiwa angani, frame yake ina expansion joints. Ikiwa chini inajiandaa kuruka huwa inavuja mafuta kwa kuwa tanks zina expansion joints pia, bila hivyo zingepasuka angani na speed yote ile
 
Hiyo technology wangeitumia Afghanistan wangewamaliza wa Taleban na vita isingechukua miaka 20
, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha longolongo
 
Hawana chakuonesha labda waandae gwaride la Mashoga
 
Hio ni iPhone 13 pro max ..angalia GLONASS hapo utaikuta. ..kunavitu nakuonaga upo vizuri ..ila kiu halisia una mahaba sana na American weapons and its technologyView attachment 2285854
Hata mimi ninayo kwenye simu. Uliwahi itumia GLONAS wapi? Sema hapa. Kuwa nayo sio shida, umepewa hiyo ni option. Twambie GLONAS uliitumia wapi maana sijasema haipo nimesema hatuitumii sisi.

Spotify, Bolt, Uber, Google Earth na takataka kibao zinatumia GPS. Wewe GLONAS umeitumia kwenye nini. Hata Warusi wenyewe silaha zao zina option ya GPS na wanaitumia sana ila Marekani na Westerns hakuna anayehangaika na GLONAS. Yani unategemea Egypt au Algeria anunua silaha za Urusi zisizo na GPS eti zina GLONAS?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…