Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Nadhani kina T14 Armata watakuwa wameelewa sasa maana wamekariri sana na mahaba yao kuhusu Western technology
 
Jamaa anaitwa nani nimtafute?
 
Wee kiazii unaongea kama unanifahamu vile
 
Nina mashaka na huu uwezo maana vita kwao zingekuwa rahisi sana. Au kuna teknolojia pia ya kuzificha assets zako zisionwe na satelites?
Inabidi iwe directed kuona hiyo sehemu. Unakumbuka General Qasem Soleimani aliuwawa kwenye gari akiwa safarini kwa drone attack. Then viongozi waandamizi wa Al Shabaab, ISIS na Al Qaeda wanauwawa kwa njia hiyo. Hayo ndio matumizi ya satellites kama target imetambuliwa iko wapi.

Satellite za kiraia kama system ya BeiDou ya Wachina inaweza ona kitu hakifiki mita moja. Na bado satellite za kijeshi zina uwezo mkubwa zaidi ambao hausemwi. Pale Marekani kuna Maxar Technologies na PlanetLab wana biashara ya kuchakata picha za satelaiti za kiraia za Marekani na kuuza. Wanakupa picha in highest quality ya hata pikipiki yako iliyopo Kigoma. Sasa hapo hatujazungumzia za kijeshi.

Mbinu za kuficha assets zipo mfano ni camouflage na kuzuia heat. Nenda YouTube kuna video AH-64 Apache inawashambulia magaidi kwa kutumia infrared seeeker + night goggles, kuna giza totoro ila inaona heat emitted by human body. Kama Terminator la Anold lilivyokuwa linaona watu.
Similarly satellite inaona source of heat mfano kifaru kikiwa engine on
 
Mkuu vifaa kibao vya kupima location vina glonass ila pia nadhani kuna tofauti kati ya uwingi na ubora.
 
Israeli (kipenzi cha Marekani) ana ugomvi na iran, we unahisi israel hatamani kufumua yale mahandaki, hatamani kujua yalipo, kama Marekani anayaona nje nje, kwanini asimsaidie israel afumue fumue pale
 
Sasa huoni ulivyo wa ajabu kushindwa concept ya kitoto kama hiyo. Na Wave yako kichwani plus Projectile Motion ukaona kabisa ground target na air target ni sawa.

Tukirudi kwenye mada unahisi kinachowafanya Urusi wazuie ndege za Ukraine zenye kasi ya zaidi ya 1800km/h ila wanashindwa zuia HIMARS zinazoenda si zaidi ya 100km/h ground ni nini?
 
Nadhani kina T14 Armata watakuwa wameelewa sasa maana wamekariri sana na mahaba yao kuhusu Western technology
Nakubali. Sikujua kama GLONAS ipo kama alternative ambayo ni automatic, nilijua ni mpaka ubadili settings ambazo huwa sizioni. Na hii feature ya kuunganisha GLONAS sidhani kama ina miaka zaidi ya mitano kwenye smartphone
 
Mataifa yaliyojipanga kununua HIMARS
1. Poland ametoa order ya HIMARS 500
2. Qatar
3. Netherlands
4. Philippines
5. Canada
6. Australia
7. Hungary
8. Taiwan
9. Sweden

Haya madude inaonesha sio mchezo
Uzuri URUSI sio mtu maneno,iyo HIMARS hata wakipewa elfu 1000 msitegemee mabadiliko yoyote yale kwenye uwanja wa VITA. Kila siku wanapokea SILAHA mpya,wanaipa sifa kibao mwisho wa siku kimya.

Nawapa wiki 2 mtasahau hii mtakuja ni SILAHA nyingine
 
Asipo fanta show off atauzaje sasa?
 
Usinilazimishe kufikiri kama unavyofikiri wewe .. Kwahiyo unatuhakikishia urusi hawana military satellite za kuona hizo mobile target za ground?
Kwamba anazo peke take USA ?
 
Ila myonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mzawa huko very rational and we'll detailed when it comes to military knowledge and it's explanation.

Wanaokataa kujifunza kutoka kwako watakuwa funza. [emoji41]
 
Mkuu kilomita 4000 kwa dakika, hivi hizo kilomita 4000 unazijua kweli, ama umekosea kuandika?
Hiyo mizinga cha mdoli inapiga km80 tu Hapa Kiduku ana scude,B52 hiyo inatoka bara moja kwenda jingine kwa speed ya km4000 kwa dakika.IMAGINE[emoji15]
 

Zimeongezwa 4 tena[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…