Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 826
Tatizo ni elimu ndugu yangu. Wapo watu wana madegree na maPhd, lakini hawajaelimika.Hivi Jiwe kipi hasa alichofanya mpaka watu watamani atawale miaka mingi zaidi? Kwani Tanzania hakuna watu wengine wenye uwezo zaidi wa kiutendaji zaidi ya Magufuli? Ishu ni Taasisi imara na sio mtu imara, mnaboa Sana nyie wafia chama
Sent using Jamii Forums mobile app