Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Primary msomeshe shule za kawaida, Sekondari mpeleke Private, then A-level atajipeleka mwenyewe shule za serikali baada ya kufaulu vizuri Olevel.
Shule ya msingi asome private. Ukiangalia syllabus za primary private zinacover secondary Kwa asilimia zaidi ya 70. Mtafute alie darasa la sita mpe paper za form 2, civics,geography, English, biology uone atakachotenda. Pia secondary hapambani kukariri, lugha anaijua hivyo masomo hayawi magumu sana kwake
Sawa kaka. Asante. Ngoja niwasikilize na wengine wanasemajePrimary school ndo msingi
Sawa asante mkuuPrimary msomeshe shule za kawaida
I understand nowSekondari mpeleke Private, then A-level atajipeleka mwenyewe shule za serikali baada ya kufaulu vizuri Olevel.
Mimi nitakwambia kutokana na experience yangu, Primary school nimesoma shule bora kabisa Tanzania na nje ya Tanzania, sekondari nikasoma shule za serikali. Nilikuwa ninawaburuza darasani japokuwa nilikuwa mtoro, siyo mtu wa kujisomea lakinimsingi niliotoka nao huko ulifanya maisha yangu ya sekondari ya we marahisi sana. Wale wote walioniiga walifail siyo O'level wala advance. Ila msingi ulikuwa wa primary. So msomeshe primary apate msingi bora, samaki mkunje angali mdogo.Sawa kaka. Asante. Ngoja niwasikilize na wengine wanasemaje
Sawa mkuuMimi nitakwambia kutokana na experience yangu, Primary school nimesoma shule bora kabisa Tanzania na nje ya Tanzania, sekondari nikasoma shule za serikali.
GoodNilikuwa ninawaburuza darasani japokuwa nilikuwa mtoro, siyo mtu wa kujisomea lakinimsingi niliotoka nao huko ulifanya maisha yangu ya sekondari ya we marahisi sana.
HakikaWale wote walioniiga walifail siyo O'level wala advance. Ila msingi ulikuwa wa primary.
Well understood bro. thanksSo msomeshe primary apate msi
Sasa hivi upo Halmashauri gani Kikazi?Mimi nitakwambia kutokana na experience yangu, Primary school nimesoma shule bora kabisa Tanzania na nje ya Tanzania, sekondari nikasoma shule za serikali. Nilikuwa ninawaburuza darasani japokuwa nilikuwa mtoro, siyo mtu wa kujisomea lakinimsingi niliotoka nao huko ulifanya maisha yangu ya sekondari ya we marahisi sana. Wale wote walioniiga walifail siyo O'level wala advance. Ila msingi ulikuwa wa primary. So msomeshe primary apate msingi bora, samaki mkunje angali mdogo.
sekondari ni uwezo mdogo wa kuelewa na kujieleza kwa lugha ya kiingeleza.
Sikuajiliwa serikalini na wala sijawahi kuomba kazi serikalini toka nimalize masomo yangu.Sasa hivi upo Halmashauri gani Kikazi?
Hongera Sana haya tuma salamu kwa watu watatuSikuajiliwa serikalini na wala sijawahi kuomba kazi serikalini toka nimalize masomo yangu.