fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,761
- 7,487
Zimbabwe tumewaacha mbali sanaSijafika Zimbabwe
Harare naiona online. Pia sidhani kama Zimbabwe ni nchi ambayo imezidi Tanzania kimaendeleo
While they have beautiful cities like Bulawayo and Harare maybe the reason miji yao ina good infrastructure ni kwamba ilijengwa na wakoloni, na sikuhizi miji hiyo haikui kwa kasi ukifananisha na miji ya Tanzania
Mfano Harare, inaonekana imekuwa vile kwa miaka mingi, tofauti na Tanzania ambayo inabadilika constantly
Mimi natamani Tanzania ifike level za Morocco au South Africa, sio Zimbabwe
Kuna miundombinu ya Zimbabwe unatamani ingekuwepo Tanzania?