Miundombinu Tanzania bado sana

Miundombinu Tanzania bado sana

Mji wa Tabora sio mkubwa kuliko Mwanza
Wewe umetaja list ya mikoa mikubwa. Mkoa unahusisha miji, majiji, vijiji, vitongoji, mapori na kila kitu
Kwa mfano licha ya Dar kuwa mkoa mdogo sana ila ndio mji mkubwa zaidi East Africa. (Eneo la mjini pekee lina cover 1500km²)
Mji wa pili kwa ukubwa Tanzania ni Mwanza. Mkoa wa Mwanza una 25000km² lakini mji wa Mwanza una 500km² ambayo inakaribia Nairobi kwa ukubwa, Nairobi City ina 650km²
Kwa hiyo tofautisha kati ya mikoa na miji

Lindi ni mkoa mkubwa kuliko Dar, lakini Dar ni mji mkubwa kuliko Lindi town (sise and population)
Kwa hio mkoa Mdogo ila Mji mkubwa?
 
Kwa hio mkoa Mdogo ila Mji mkubwa?
Ndio, mkoa mdogo lakini zaidi ya asilimia 95% ya mkoa huo ni mji
Sasa Lindi ni mkoa mkubwa lakini sehemu kubwa ya Lindi ni mapori, na miji midogo, kiasi kwamba hata Lindi mjini ambao ndio mji mkubwa zaidi mkoani Lindi ni mdogo kuliko mji/jiji la Dar

Chukua mfano huu, kutoka Mbagala hadi Tegeta ni km 35 lakini bado ni ndani ya jiji la Dar, ila Lindi mjini ukiendesha gari hizo kilometers unakuwa umeshatoka nje ya Lindi town kitambo, unakuwa uko maporini kabisa huko
 
Hata hizi wanazojenga nyingi matumizi yake hayapo practical...

Unajenga highway njia 8 hadi 10 na hakuna overpass au underpass mahali popote, zaidi unaweka mataa yanayochochea foleni...
 
Kama hatutakubali kuweka Serikali ya Majimbo, Hali itaendelea kua Ngumu sana na kutaendekea kua na Mpishano wa maendeleo kati ya Mkoa na mkoa
Tatizo mojawapo ni mgawanyo wa kodi inapokusanywa, halmashauri zinaachiwa asilimia 2-3, nyingine zote zinaenda hazina, unakuta miji inasubiri huruma ya mafisadi ya serikali Dar kujenga hata choo cha stendi, nafikiri pesa nyingi ziachwe zinapokusanywa kufanya maendeleo kama barabara
 
Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu

Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar yenyewe ina mitaa mingi ya barabara vumbi, kuna maeneo mengi hatapitiki nyakati za mvua. Ikifika kiangazi barabara zinajaa mchanga. Tuna safari ndefu sana

Reli ziko chache mno, usafiri wa treni bado uko nyuma, nadhani tuna reli nne tu na tatu ni MGR bado. Ya kati, Tazara na ya Kaskazini. Halafu treni za MGR zenyewe zimechakaa sana, zipp kama treni za 1900s
Hii SGR ni hatua nzuri, natarajia tutaongeza treni nyingine miaka ya usoni, kama tuko serious

Tanzania barabara zetu zimejaa michanga, mitaro mingi iko open matokeo yake watu wanatupia taka humo ndani. Ukijumlisha na mchanga unaoingia mitaroni, unakuta hadi mitaro inaota nyasi.
Na hapo barabara zina mashimo kibao

Drainage system nayo ni very poor. Msimu wa mvua ukifika ni mafuriko kuanzia Dar, Mwanza, Arusha, Morogoro yani Tanzania nzima

Hakuna pavements kwenye business districts nyingi, ni mchanga tu ndio maana michanga inajaa barabarani na kuziba mitaro

Neighborhood za Tanzania nyingi zina completely ZERO infrastructure. Yani unakuta tu ni ardhi na nyumba za watu basi, hakuna lami, hajuna pavements, hakuna drainage system za maana, hata zilizopo zimeachwa tu wazi, hazifunikwi, uggh

Mpaka leo miji kama Dodoma, Dar, Arusha na Mwanza haina metro licha ya kuwa na wakazi laki 6 hadi mamilioni 😏

Miji mingi Tanzania ni michafu. Hakuna dustbin mitaani, watu wanatupa tu taka hovyo, yani hii nchi imejaa takataka za plastiki everywhere. Mazingira machafu ndio maana kuna kipindipindu cha mara kwa mara kama cha Mbeya kilivyofyeka watu 2024/2025 kwa miezi 5 mfululizo

Neighborhood za Tanzania hazina streetlights, usiku barabara ni giza tu

Our development is slow na tuna zero commitment kwenye kuendeleza miundombinu kwenye makazi ya watu.

Kila siku unasikia uchumi unakua na bado mitaani barabara za vumbi, mitaro imejengwa tu kienyeji na ipo open, mitaa michafu, hakuna street lights....

Hapo ni mjini tu, ukiingia vijijini ndio kabisa utakata tamaa

Miundombinu Tanzania bado sana. Moja ya vitu vinafanya Watanzania kuwaza kukimbilia nchi za watu ni pamoja na miundombinu mibovu ambayo hakuna anayejali.
Especially miundombinu inayohusu makazi ya wananchi.
Achana na hiyo inayoenda kujengwa maporini huko
Japo bado lakini tumejitahidi,ukitembea humu afrika ndio utajua
 
Ndio, mkoa mdogo lakini zaidi ya asilimia 95% ya mkoa huo ni mji
Sasa Lindi ni mkoa mkubwa lakini sehemu kubwa ya Lindi ni mapori, na miji midogo, kiasi kwamba hata Lindi mjini ambao ndio mji mkubwa zaidi mkoani Lindi ni mdogo kuliko mji/jiji la Dar

Chukua mfano huu, kutoka Mbagala hadi Tegeta ni km 35 lakini bado ni ndani ya jiji la Dar, ila Lindi mjini ukiendesha gari hizo kilometers unakuwa umeshatoka nje ya Lindi town kitambo, unakuwa uko maporini
Hapa sasa tumewekana sawa ila Mwanza nimefika Shinyanga nimefika Tabora nimefika Lindi nimetembea Ruvuma nimetembea, kuna mengine sitaki kuyasema hapa kwa mtu ambae hajatembea atahisi labda unaongea kitu fulani hivi cha tofauti ila maeneo yote yanafanana kiasi chake
 
Usafi ni mind set na jamii kushirikishwa

Mbona Miji ya Moshi, Iringa pamoja na Sumbawanga wameweza..

Watanzania tuache uchafu, kuna watu wamezoea uchafu toka wanatoka vijijini kwao

Ukiwa kwenye mabasi unakuta mengi yana dustbin, lakini unakuwa abiria baadhi wanatupa taka chini ya seat walizokalia

Hata kwenye ndege, isingekuwa wale wahudumu kutembelea kila seat na dustbin zao kukusanya uchafu, hali ingekuwa ni hivyo hivyo
 
Kama hatutakubali kuweka Serikali ya Majimbo, Hali itaendelea kua Ngumu sana na kutaendekea kua na Mpishano wa maendeleo kati ya Mkoa na mkoa
Hii ya serikali ya majimbo imekaa vyema
Sio kwa nchi ambazo zina majimbo tangu zamani, bali kwa nchi ambayo itahamia kwenye majimbo hivi karibuni
Watu wengi wanataka Tanzania iendelee, wakigawa kwenye majimbo itakaa poa sana, majimbo yawe yana compete kwa infrastructure na jimbo linalosuasua, kiongozi anatumbuliwa haraka, anawekwa aliye serious
 
Japo bado lakini tumejitahidi,ukitembea humu afrika ndio utajua
Sasa inabidi tujifunze kutoka kwa Morocco, Egypt, Tunisia, South Africa nk, nchi ambazo zimetuacha kimaendeleo, tufikirie ku catch up

Sio kuangalia nchi kama Zimbabwe, Burundi, Magagascar, sijui Somalia nchi ambazo tumeshaziacha tayari. Probably because ni wazembe kuliko sisi, ila haimaanishi sisi hatuzembei
 
Umefika Zimbabwe au kuiona Harare online 😁
 
Umefika Zimbabwe au kuiona Harare online 😁
Sijafika Zimbabwe
Harare naiona online. Pia sidhani kama Zimbabwe ni nchi ambayo imezidi Tanzania kimaendeleo
While they have beautiful cities like Bulawayo and Harare maybe the reason miji yao ina good infrastructure ni kwamba ilijengwa na wakoloni, na sikuhizi miji hiyo haikui kwa kasi ukifananisha na miji ya Tanzania
Mfano Harare, inaonekana imekuwa vile kwa miaka mingi, tofauti na Tanzania ambayo inabadilika constantly
Mimi natamani Tanzania ifike level za Morocco au South Africa, sio Zimbabwe

Kuna miundombinu ya Zimbabwe unatamani ingekuwepo Tanzania?
 
Dar is a slum compared na Harare, walipata shida kidogo hapo nyuma lakini they are back now
 
Dar is a slum compared na Harare, walipata shida kidogo hapo nyuma lakini they are back now
Dar is not a slum compared to Harare. You are exaggerating
Also I wish our cities should have functional BRT, metro railways, proper drainage system, bridges etc
Hiyo Harare sidhani hata kama ina BRT

I don't think Harare is a perfect example to what Tanzania should be like
It's South African cities or Moroccan cities with these infrastructure that we actually have to learn from
 
Back
Top Bottom