Elizabeth Dominic mbona unabadili swali?We mchokozi sana, kwani za sehemu zingine zinahu? si imeulizwa mitindo ya kichwani?
Elizabeth Dominic mbona unabadili swali?
Kauliza mitindo ya kunyoa na hajasema kunyoa nini na wapi so nayo inahusika...mbona mkali huwa unapiga kipara nini lol au umeacha rasta? Heheheeeee
Elizabeth Dominic mbona unabadili swali?
Kauliza mitindo ya kunyoa na hajasema kunyoa nini na wapi so nayo inahusika...mbona mkali huwa unapiga kipara nini lol au umeacha rasta? Heheheeeee
Hahahahaaaa Zion Daughter rasta unaweza kumpa mwenzio kazi ya kutafuta wapi nanii iliko maana inaweza kujificha hadi atumie tochi na kama mweesi wa kukata tamaa anaweza kuahirisha zoezi lolRasta ndo zenyewe
Hahahaaa kaka mi nipo aisee Elizabeth Dominic haya njoo mpenzi wangu nikunyoe mwaya kuonyesha mapenzi ya dhati kwako na si kwa cielo wala Kipipi52 mambo niaje? Jeipili inaendaje?
Haya mpunguzie makavu huyo bibie yanamtosha!.
Sasa mpe vilivyo laiiyniii .
Kwa Kiingereza wanaita French bun
Hahahahaaaa Zion Daughter rasta unaweza kumpa mwenzio kazi ya kutafuta wapi nanii iliko maana inaweza kujificha hadi atumie tochi na kama mweesi wa kukata tamaa anaweza kuahirisha zoezi lol
Elizabeth Dominic mbona unabadili swali?
Kauliza mitindo ya kunyoa na hajasema kunyoa nini na wapi so nayo inahusika...mbona mkali huwa unapiga kipara nini lol au umeacha rasta? Heheheeeee
Hahahaaa kaka mi nipo aisee Elizabeth Dominic haya njoo mpenzi wangu nikunyoe mwaya kuonyesha mapenzi ya dhati kwako na si kwa cielo wala Kipipi
mie leo nimesuka mwiba wa samak ,next week nitasuka mdomo wa kuku.
Hahahaaa kaka mi nipo aisee Elizabeth Dominic haya njoo mpenzi wangu nikunyoe mwaya kuonyesha mapenzi ya dhati kwako na si kwa cielo wala Kipipi
Utaokotwa ukiwa hauna fahamu kwenye msitu wa Mabwepande............shauri lakoHahahaaa kaka mi nipo aisee Elizabeth Dominic haya njoo mpenzi wangu nikunyoe mwaya kuonyesha mapenzi ya dhati kwako na si kwa cielo wala Kipipi
We jishaue hivi unamjua mdhamini wako kwenye lile saga uliloliacha MwanzaElizabeth Dominic mbona unabadili swali?
Kauliza mitindo ya kunyoa na hajasema kunyoa nini na wapi so nayo inahusika...mbona mkali huwa unapiga kipara nini lol au umeacha rasta? Heheheeeee
wadada wa chit chat hivi ninyi huwa hamsuki kama mie nini? hebu tupieni majina ya mitindo ili tupate mitindo mipya lolest!!!!!!
wapi mama cacico, Preta, beibe nasty, Elizabeth Dominic, Ciello, Remmy, eversmilling gal Arabela na warembo woote?
mh,hebu tudadavulie hyo misuko ipoje ipoje. . .
Kwanza sio love garden ni Garden Love!Ndo sawa..love garden za kike hizo...
Hahahaaaa Elizabeth Dominic kwani kunidhamini ndio uninyanyase kwa rasta? Lol Kwanza nimesema huko siji tena labda niaongozane na KipipiWe jishaue hivi unamjua mdhamini wako kwenye lile saga uliloliacha Mwanza
Utaokotwa ukiwa hauna fahamu kwenye msitu wa Mabwepande............shauri lako