Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Mitihani yote amefaulu, vizingiti vyote amevuka bado kimoja tu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,154
Reaction score
831,823
Nusura ya vifungo
Nusura ya kifo
Nusura ya kurejea ngamani
Nusura ya kukamatwa
Nusura ya kuteuliwa kugombea
Nusura ya kupitishwa na tume
Nusura ya kufanya kampeni
Nusura ya kuruka na chopa
Bado nini tena?

Nine lives count! Bado ya mwisho kubwa kuliko yote! Tunatazamia!
Kukichwa kutapambazuka lakini kabla Jua halijachomoza kiza huwa kinene na giza huwa totoro.

Screenshot_20201027-173856.jpg
 
ATASHINDA, ATASHINDA INGAWA HAWATAMTANGAZA LKN ATASHINDA... LET US WAIT AND SEE
kama una clip ya kufunga kampeni ya Kawe nisaidie hapa tafadhali sana. nimepitwa na jambo muhimu, mitandao ilikuwa kapoot!
Ikiwa atashinda na asitangazwe basi atakaye tangazwa bila kushinda ajue Mungu anampenda zaidi hivi karibuni. Neno la kinabii
 
Atashinda ingawa hawatamtangaza Atashinda... Let us wait and see.
kama una clip ya kufunga kampeni ya Kawe nisaidie hapa tafadhali sana. nimepitwa na jambo muhimu, mitandao ilikuwa kapoot!
Atatangazwa lakini baaadaeeeee
Lissu atatangazwa na Ulimwengu
Kwa yanayoendelea ni dhahiri uchaguzi kuweza kurudiwa kwa shinikizo la mataifa mbalimbali au kurudia kuhesabu kura huku ICC wanafungua na kujiandaa na kesi mpyaaaaaa
🙄🙄💥
 
Kizingiti kikubwa ni jiji la Dar kesho tunampiga chini na chadema yote kesho na kuwatimua Dar

Dar kesho tutawaonyesha nchi nzima kuwa hatutaki vibaraka wa wazungu kama Lisu au chama cha vibaraka wazungu akina Amsterdam Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom