Mitihani ya form 6-PCB: Ndiyo maana ufaulu unakuwa mkubwa

Si ajabu wangefanya wao hiyo paper wasingetoboa
Watoboe au hajibu hata swali mojaa zaidi ya kuandikaa utumboo akidhani amepatia.. biology ndo mtihani pekee ambao ukishafanya una uhakika umepata A subiri wasahihishe hutaamini. Physica na Chemistry unafail ukiwa hata hujaanza paper unaona kabisa hapaa NIMEBAKWAA... bios paper zake kuziona nyepesii sasa fanyaa uandike utumbo ulionao kichwanii
 
Hata akitumia Google ataandika Utumbooo tu...
Maswali yanaonekana ya kawaida kabisa unajua hapa napiga Banda (A) subiri matokeo yaje sasa.
Yeye kasoma maswali juu juu anaona mtihani mrahisi
 
Back
Top Bottom