Dr F. Ndugulile;
Tuna matatizo kwenye mfumo wetu wa elimu ikiwa ni pamoja na mfumo wa mitihani. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu:
1. Je mitihani tunayotunga inazingatia mitaala? Nani anacheki hili?
2. Je kuna kitengo kinachosimamia ubora wa mitihani na uhakiki?
3. Je kuna uhakiki katika usahihishaji wa mitihani?
4. Je kuna tathmini yoyote unayofanyika baada ya mitihani kufanyika?
Nilitarajia Tume ya Pinda ingekuja na majibu, lakini mpaka sasa imekuwa kimya.
Sasa Hapo Ww Gambaz Hayo Maswali Unamuuliza Nani Ayajibu?
Unafiki Mbaya Sana Ww Dr..
kwann Kipindi Mbatia Anawasilisha Hoja Yake Hukuumuunga Mkono?
leo Unakuja Na Viswali Vyako Vya Kindergaten Hapa Kwenye Jamvi!
ww Unalalamika,
Marcopolo(jk) Analalamika,
Kawa-mbwa Analalamika,
Prof Mulugo Analalamika,
Wananchi Wanalalamika,
Walimu Wanalalamika,
way Forward Ni Nn?