Miti ya majirani ni kero

Miti ya majirani ni kero

Naombeni kujuzwa taratibu za kufuata ili kuweka uzio wa umeme waungwana.

Huko ulikomwelekeza akaripoti sidhani kama ni mahali sahihi kwa tatizo hilo mkuu.
Mkuu wamiliki wa mti hawataki kupunguza mtu atakuja pigwa shot ya umeme hapo inakula kwakwe mmiliki wa fence anawe mapema tu
 
Yani ukate mti kisa uvivu wa kufagia? Ingekua tawi limeegemea nyumba hapo ingekua tatizo, hebu acha miti mpate hewa safi
 
Back
Top Bottom