Nadhani hiyo ndiyo dawn;Hii nchi yetu ya kijamaa mtu hatarajii mgombane kisa mti wake unachungulia uwanjani kwako.
Kama ingekua inakua dawa ipo ila hapo ishaota mpaka ndevu ni ama uwe unaikata wewe mwenyewe na akija kukuongelesha unamkalia kimya au uwe unazoa majani na kutupa uwanjani kwake.
Ila pia unaweza ukapandisha ua wako kama hutaki ujinga
Nadhani hiyo ndiyo dawa hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo ila yeye alikuwa akisogeza mpaka mara kwa mara nikaamua kupandisha ukuta na tatizo likaisha.Hii nchi yetu ya kijamaa mtu hatarajii mgombane kisa mti wake unachungulia uwanjani kwako.
Kama ingekua inakua dawa ipo ila hapo ishaota mpaka ndevu ni ama uwe unaikata wewe mwenyewe na akija kukuongelesha unamkalia kimya au uwe unazoa majani na kutupa uwanjani kwake.
Ila pia unaweza ukapandisha ua wako kama hutaki ujinga
Katika picha yako mkuu naona unaukuta nadhani hilo eneo korofi upandishe zaidi naamini tatizo litakwisha