Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 1,002
- 1,092
Habarini wakuu! Naombeni msaada wa kujua nitumie njia gani ya kukausha miti ya jirani yangu, kwa kweli kwangu ni kero halafu sio mstaarabu, hata nikimuomba mimi niipunguze tunasumbuana bila sababu za msingi, nataka nipate dawa/sumu niikaushe tu kimyakimya bila kujua, sipendi magomvi nae wakuu, natesa familia yangu kusafisha uwanja kila wakati.