Mitego ya wanawake

Ipi Kati ya hizo inafaa kutumiwa kupata chaguo imara?
Inategemea unachagua ili iweje....

Kukuza kizazi chako ? (ndio maana watu huwa wanavutiwa na vitu ambavyo vina-complement their weaknesses) mfano mwanamke mfupi kuvutiwa na mwanamme mrefu itapelekea kizazi kuwa na better genes (maybe average height na sio wote mbilikimo au mangongoti) kwahio better genes zinafaa kama unataka kuimarisha generation...

Ila kiuhalisia more than anything ni mtu unayekwendana nae mtu ambaye ni rafiki yako na mnaoshibana na mnaweza kufanya mengi wote..., sababu karne hii maisha sio kufyatua watoto pekee bali ni kufurahia siku baada ya siku na kuvuka milima na mabonde..., sasa kama safari hii itaongezewa na mzigo na kero hauchelewi kukimbia familia au kuombeana vifo...

Ila kama its for the good time (nadhani hapo ni yoyote aliyepo karibu ila sio kingaganizi) huchelewi kutengeneza maadui badala ya marafiki na salamu ulizokuwa unapewa kugeuka kuwa misonyo....
 
Mkuu nimejifunza mengi Sana kwako, hapa kwenye kuchagua mwanamke atakaye complement weakness zako, kwenye appearance sawa. Kwenye tabia au haiba yake pia unaweza kufanya hivyo?

Kwa kuwa chaguo hufanywa na wanaume (at least according to our customs) ni vitu vipi vya kuzingatia unapochagua! Nimeelewa hapo kumchagua mnayeendana. Kuna vingine??
 
Aisee
 
Mkuu nimejifunza mengi Sana kwako, hapa kwenye kuchagua mwanamke atakaye complement weakness zako, kwenye appearance sawa. Kwenye tabia au haiba yake pia unaweza kufanya hivyo?
Tabia nadhani inakuwa influenced na mazingira na jamii husika kuhusu haiba huenda ikategemea pia nadhani wazazi wakiwa wapole na wakarimu ni rahisi kwa watoto pia na kuwa na tabia kama hizo ingawa jamii inachangia
Kwa kuwa chaguo hufanywa na wanaume (at least according to our customs) ni vitu vipi vya kuzingatia unapochagua! Nimeelewa hapo kumchagua mnayeendana. Kuna vingine??
Zamani mababu zetu familia ilikuwa inafanya research unapooa ni wapi kwa kuchunguza ukoo wa upande wa pili (hii ilipelekea arranged marriages ambazo sikubaliani nazo sana)

Cha maana nadhani ni wewe kuchagua kinachokufaa / unachokipenda sababu makosa yanafanyika na dunia ya sasa hata ukifanya makosa kila mtu anaweza kwenda na njia yake kuliko kulazimishwa usipopenda inakuwa ushafeli safari hata kabla ya kuianza....,

Na kama ni life partner muonekano sio kila kitu sababu muonekano unachuja na ukishazoea wala hautababaishwa tena ila personality ya mtu nadhani ni long lasting...
 
Exactly
 
Ayubu aligoma kuingizwa mkenge mkuu

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Imagine unakutana na mwanamke kwa mara ya kwanza, utakachokiona kwanza ni mwonekano wake, sasa unawezaje kutoa focus ili kuielekeza kwenye things that matter most? Zipi ni indicators za mapema kabisa kwamba huyu ndiye /siye?
 
Mtoa Mada speak about yourself

Mfano unadhani kila mtu au Mwanaume timamu tupo tiyari amkubalie Mwanmke ili akaribishe mikosi na kuua uchumi wao hamna kitu Kama hicho ,
Labda nyie vijana wa hovyo ndo mtawakubalia ao maharage ya Mbeya .


Ukiwa na Focus huwezi kukubali Mwanamke yoyote u
Kupewa nafasi bila kuangalia usalama wako
 
Kwamba ushawahi kuchomoa mtego? Tupe mbinu za kivita mkuu
Nimekwepa mitego mingi sana mkuu. Mingi mno,Wamama,Wake za watu,wanafunzi n.k. Mbinu ninayoitumia ni Moja Tu. KUJUA NIPO DUNIANI KUFANYA NINI(MAONO YANGU YA MAISHA). HIVYO KUEPUKA VISHAWISHI INAKUWA RAHISI. Kuna siku niliikwepa kanga moko moja hivi matata Sana!. Mweupe pe halafu ana nyamanyama zenye Milima na mabonde!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…