Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,239
- 113,613
What do you mean by being "partial kidogo kwenye nature"? Hivi unadhani vijana wetu wa engineering hapa UDSM na nature yao ya Uafrika/Utanzania wakitupwa pale NASA halafu na mavifaa yote yale na vichwa vyote vile vya kuwafunda (nurture) hawatafanya ma-cataclysmic innovative change ya nguvu?
Lakini kwa nini hadi watupwe pale NASA? Kwani hawawezi kufanya hivyo pale Sumbawanga?