Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,632
- 697,794
- Thread starter
- #61
Kubishana na huyo kunahitajika moyo wa uvumilivu mkubwa sanaHapo umenidanganya. Kuna sheria ya kulinda taarifa ya mteja. Hii sheria ni ya dunia nzima wala siyo Tanzania tu.
Unafikiri kwanini Max alikataa kutoa taarifa za JF members? Yeye ni nani mpaka alikataa?
Alisimamia sheria ndiyo maana mpaka leo members wa JF wanaenjoy na maisha.
Tupo kwenye ulimwengu wa watu wenye IQ kubwa kwahiyo kabla ya kujibu inabidi utafakari jibu lako.