Mitandao ya simu Tanzania ipo 'compromised'?

Mr mshana jr ,umeongea vizuri ingawa wachache watakuelewa ,Hakuna mahali mleta Uzi amepinga taarifa zisitoke isipokuwa tatizo mfumo unaotumika au unaotumika ,,kila Jambo linatakiwa lifanywe kiuwelidi Bila kuwathili akili zetu Sisi watazamaji au watumiaji .ndyoo maana kwako hauwezi kuangalia video za X au unazungumza Mambo ya faraga mbele ZA watoto wako .
 
Hii nchi tunaweza kushika namba 1, 2 na 3 duniani kwa unafiki. Wiki iliyopita shahidi katika kesi ya Ole Sabaya alitoka Vodacom akiwa ameletwa mahakamani na Jamhuri hatukusikia watu wakilalamikia faragha ya mteja. Jana Jamhuri imemleta mahakamani shahidi kutoka Tigo watu wanalalamika kuhusu faragha ya mteja. Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana. Tunapozungumzia faragha tusibague watu maana wote wako sawa kwenye jicho la sheria na wanapasws kutendewa haki.
Sio lazima kila mtu amsemehe kila mtu.ata wewe ungeweza kumsemea sabaya kama uliona utaratibu haukufuatwa.Kwahiyo kama kwa sabaya kuna utaratibu ulikiukwa wako wanaomuhusu kwa karibu walipaswa kua mstari wa mbele kusema ili wengine waunge mkono hoja.Ila kama walikaa kimya unategemea nani atakua mstari wa mbele kusema.
 
Kama ni hivyo mbona Apple walikataa kutoa taarifa kwa FBI?
Baada ya kumshindwa Lissu wanahamia kwa Mbowe.
Ukisoma maelezo ya mashahidi, wanajichanganya sana. Hiyo ni kesi ya kubambikiwa.
Kazi ya kampuni za simu sio kulinda Siri za wahalifu!!! Au magaidi.

Kama wewe ni mhalifu ujue kabisa huko salama kwenye mtandao wowote wa simu
 
Kama ni hivyo mbona Apple walikataa kutoa taarifa kwa FBI?
Baada ya kumshindwa Lissu wamehamia kwa Mbowe.
Ukisoma maelezo ya mashahidi, wanajichanganya sana. Hiyo ni kesi ya kubambikiwa.
Kazi ya kampuni za simu sio kulinda Siri za wahalifu!!! Au magaidi.

Kama wewe ni mhalifu ujue kabisa huko salama kwenye mtandao wowote wa simu
 
Hakuna siri kwenye makampuni ya simu, ukitaka taarifa na ukiwa na hela utaambiwa kila kitu.
Kuna jitu nilikuwa nalidai likawa linanilipa kidogo kidogo ikabaki laki na thelathini likagoma. Kwenda voda kuomba taarifa za miamala ya Yule jamaa wakagoma nikawa sina ushahidi.
 
Hukupata tu mtu, wanatoa taarifa labda haujakuna na mwenye njaa
 
Hii nchi tunaweza kushika namba 1, 2 na 3 duniani kwa unafiki. Wiki iliyopita shahidi katika kesi ya Ole Sabaya alitoka Vodacom akiwa ameletwa mahakamani na Jamhuri hatukusikia watu wakilalamikia faragha ya mteja. Jana Jamhuri imemleta mahakamani shahidi kutoka Tigo watu wanalalamika kuhusu faragha ya mteja. Huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana. Tunapozungumzia faragha tusibague watu maana wote wako sawa kwenye jicho la sheria na wanapasws kutendewa haki.
Mkuu siyo unafiki hata kama sabaya taarifa zake zilitoka vodacom bila kufuata sheria za kimahakama zinavyotaka hilo pia ni kosa kwa voda
 
Kama ni hivyo mbona Apple walikataa kutoa taarifa kwa FBI?
Hujui vizuri hiyo case kilichotokea FBI walitaka Apple watoe publically Apple wakasema wangeziomba secretly wangewepa bila shida sababu inge tarnish biashara yao.FBI Waka withdraw case dhidi ya Apple na Apple wakawapa kila kitu halafu FBI wakaenda public kutangaza kuwa wao wamegundua software yao ya kudukua kila mteja wa simu .Case ikawa closed

Ukiidukuliwa Marekani FBI wanasema tumekudukua na software yetu Kumbe wanapewa na makampuni yenyewe kwa mlango wa nyuma
 
Nayo ilikuwa kesi ya ugaidi?
Haijalishi kesi ipi muhimu ni Shahidi kutoa ushahidi,hoja yako ni lawama Kwa tigo Kwa kutoa faragha za mbowe Kwa mahakama umepewa mfano wa voda na bank kutoa ushahidi dhidi ya sabaya, muhimu ushahidi haijalishi kesi gani
 
Ushahidi sio tatizo tatizo liko kwa mashahidi na namna ya kuwasilisha ushahidi husika.. Afisa kipenyo ama pandikizi hatakiwi kujulikana popote pale na kwa hali yoyote ile.. Hiyo ni kwa usalama wake, idara yake na maslahi ya mwajiri wake

nani alikudanganya mkuu??

acheni story za kahawa hizi.
 
Kabla hujasajili laini ni vema kusoma TERMS AND CONDITIONS vyote wanavyofanya viko wazi kabisa
 
Hapo umenidanganya. Kuna sheria ya kulinda taarifa ya mteja. Hii sheria ni ya dunia nzima wala siyo Tanzania tu.
Unafikiri kwanini Max alikataa kutoa taarifa za JF members? Yeye ni nani mpaka alikataa?
Alisimamia sheria ndiyo maana mpaka leo members wa JF wanaenjoy na maisha.
Tupo kwenye ulimwengu wa watu wenye IQ kubwa kwahiyo kabla ya kujibu inabidi utafakari jibu lako.
Hujui vizuri hiyo case kilichotokea FBI walitaka Apple watoe publically Apple wakasema wangeziomba secretly wangewepa bila shida sababu inge tarnish biashara yao.FBI Waka withdraw case dhidi ya Apple na Apple wakawapa kila kitu halafu FBI wakaenda public kutangaza kuwa wao wamegundua software yao ya kudukua kila mteja wa simu .Case ikawa closed

Ukiidukuliwa Marekani FBI wanasema tumekudukua na software yetu Kumbe wanapewa na makampuni yenyewe kwa mlango wa nyuma
 
Hapo umenidanganya. Kuna sheria ya kulinda taarifa ya mteja. Hii sheria ni ya dunia nzima wala siyo Tanzania tu.
Unafikiri kwanini Max alikataa kutoa taarifa za JF members? Yeye ni nani mpaka alikataa?
Alisimamia sheria ndiyo maana mpaka leo members wa JF wanaenjoy na maisha.
Tupo kwenye ulimwengu wa watu wenye IQ kubwa kwahiyo kabla ya kujibu inabidi utafakari jibu lako.
Uko sahihi hiyo issue ilikuwa business issue sio issue ya serious threat kwa Usalama wa taifa.It was just a business threat any individual issue not a serious issue tishio kwa Usalama wa Taifa.Ukiingia ugaidi Aiseee utatafuta Maji ya kunywa yaliko.Utasikia kiu bila kukaukiwa
 
Back
Top Bottom