Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

Ndio maana ya Serikali, ina mamlaka ya kutosha kwa wananchi Wake
Ndiyo ni mamlaka lakini hoja ya msingi kulikuwa na faida gani kusema hiyo sentensi, ni kuonesha nini? Angechagua kutoitaja hakuna ambacho kingepungua. Naamini hata aliyekusudiwa ana jua kuwa mamlaka ina uwezo wa kupata taarifa yoyote.
 
kudukua wapi bhana ni watu wa mitandao hawa ndo wanatoa hizo taarifa
Hapo sasa ! ...Mwenyekiti nae kadukuliwa anaomba mzigo kwa Wema Sepenga, ukuta wamenyuti na hawashabikii kama issue ya Bashite
 
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Vipi kama angekuwa gaidi !?
 
Mleta uzi acha ufala...! Huweji hata kujiongeza Mwanyika kamuonesha Rais msg alizokuwa anatumiwa sio kudukua(Hacked). Na Bado Chadema Safar hii Namba mtaisoma Sana hamna jipyaaaa....!!! Ccm mbele kwa mbele
 
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?
Duh! Binafsi sijasikiliza hiyo ripoti wakati inasomwa lakini kwa rais kutoa kauli kama hiyo hadharani ni jambo la hovyo sana!!

Serikali zote duniani zinafanya udukuzi kwa raia wake! Lakini kwa rais kusema hadharani kwamba wanadukua mawasiliano ya watu ni jambo la hovyo sana linaloondoa umakini anaotakiwa kuwa nao mtu wa nafasi yake!!

Halafu hili jambo si mara ya kwanza amekuwa akisema as if ni jambo sahihi kufanya!!!
 
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Dawa ni kuhama nchi tu lkn hakuna serikali duniani itayokataa kusaidia udukuzi dhidi ya mtu iwapo taasisi ya usalama wa taifa husika utahitaji kufanya hivyo.
 
Isingekuwa vema kusema hadharini kwamba huwa wanafulia mawasiliano ya watu hata kama huwa wanafanya hivyo hata kwa usalama wa nchi yetu. Hiyo kumtahadharisha adui yako kubadli mbinu za mawasiliano. Mimi si mtalaam wa ukachero ila nafikiri uchunguzi wa kimya kimya utakupa taarifa zaidi.
Hata abadilishe atapatikana tu.
 
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?


Mitandao ya simu inatoa taarifa za mteja pale tu vyombo Vya usalama vinapoomba taarifa za mteja huyo hiyo ni sheria. Hivyo wata print out taarifa zote za huyo Mtu ndomaana unaona waalifu hukamatwa kilaisi
 
Ameshasema ng'ombe wake lazima ajue anatoa lita ngapi, now kamera za siri zitafungwa mapaka majumbani aone kama shoo inapigwa kibabe au, maana na sie ni wake yeye ni rais wetu.
Hama nchi tu kama unahisi utafungiwa kamera chumbani.
 
Asingesema public itafanya kutumia mbinu mbadala na ushahidi utapatikana kwa tabu
Udukuzi ni Siri? nani asiyejua dunia nzima serikali ndio maana inalazimisha usajili ikitaka taarifa zako kuhusu matumizi ya simu yako ni dakika moja tu? Hata lissu anajua hivyo sema alijisahau tu kutuma msg za kiboya.
 
Na inawezekna ika haina ukweli wowote pia.Hivi huyo aliyetajwa Lissu alipewa nafasi ya kujitetea au ni kama hivyo tu!Au ndiyo sababu jana Mlifuata Mwanyika Nyumbani na NOAH?
Hata kama amefuatwa na scania.
 
Taarifa zenye tija kwa taifa WADUKUZI WA SELIKARI wana mamlaka ya kudukua ndg. Usiniuze chochote kwa hili.
 
Ku
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Kuwa Makini na Mawasiliano ufanyayo. Umesikia hata nyendo zao zilikuwa zinafuatiliwa kwa karibu
Watu wa kazi maalum kama hii ni bora kujiepusha nao kabisa. You never know who is following you!
 
No confidentialities when comes to national security!. Jua hilo nyie mademu
Nahisi wewepia ni demu, ila kwa taarifa yako kama ndo upo huko serikalini udukuzi mtafanya kwenye mawasiliano yamitandao tu ila encrypted Apps itakuwa ngumu sana.

Nasema hivi sababu nisha fanya coarse ya Security issues, najua how encryption na decryption work. Kama jamiiforums tu inawasumbua mpaka wanataka wapewe taarifa na operators , secured Apps sahau.


Only and only goverment inaeza fanya niku spy device yamtu au ku tumia back door kwenye operating system anayotumia huyo target.

Nahili limeshazungumzwa What does the "Year Zero" and "Vault 7" stuff from Wikileaks mean?

Privacy must be respected haijalishi ni government au nani they must respect us. Nahizi encryption issues zimewekwa hususani na watu wanaopenda kuheshimiwa. Am out
 
Mkuu serikali maana yake ni power na authority na ni jukumu lake kufanya hivyo
 
Bowie: Wewe ni mtanzania au mkimbizi? Hivi toka rohoni mwako ndio kwanza umejua leo kuwa Taifa linaibiwa madini?
Hata vitabu vya dini vinasema mtu akitubia madhabi yake husamehewa.
Kama ccm imepata kiongozi shupavu haendani na mfumo mchafu uliokuwepo kwanini watanzania msimuunge mkono ili tatizo hili liishe kwa haraka
Taarifa wanaweza kuzipata hata pasipo kuishirikisha mitandao husika.
 
Zitto junior usipanic unajua serikali ya Marekani ilisharekodi mpaka mawasiliano Waziri Mkuu wa Ujerumani unajua watumiaji wote wa Google wako monitored. Tofautisha Watergate Scandal na huu udukuzi wa kisasa, ni unapomzungumzia Henry Kissinger unakosea aliyehusika alikuwa Richard Nixon na udukuzi wake ulikuwa wa kisiasa. Linapokuja suala la hapa mtu kama wakili maarufu anapoamua kum challenge Rais hadharani kwa lugha za kihuni wakati Rais ameunda tume maalum kuangalia maslahi ya taifa wewe unaonaje ? Serikali ina haki ya kuchunguza mienendo ya wakili huyo. Mimi binafsi ningemshauri Mheshimwa Rais Magufuli kama tuna aina hii ya mawakili it's better to revoke his/her licence.
Zitto Junior inapokuja suala la utaifa tuondoe uchadema na uccm na Rais Magufuli amepiga hatua moja zaidi anarudisha suala la mikataba bungeni tuone wabunge wazalendo na ambao siyo wazalendo.
Ndio nasema walimdukua merkel but it was illegal na serikali iliomba msamaha kwa hilo..... nachotaka ukubali ni kuwa udukuzi wa mawasiliano SIO HALALI najua tunadukuliwa hta humu JF ila wanafanya kwa usalama wa taifa but ni siri yao tu ila kisheria hairuhusiwi ndio maana hta kesi ya lwakatare chadema waliomba ruhusua ya mahakama ili wakadukue mawasiliano ya mwigulu na genge lake bila hivyo mwigulu na zitto wangeishtaki chadema!!!

Kuhusu watergate henry kissinger alikuwepo mkuu acha upotoshaji na ndio maana nikasema serikali nzima ilianguka kasoro Henry kissinger mbona wabadili historia???

Kuhusu lisu sijaona wapi ni msaliti yeye ni chama tofauti na magufuli na kma mpinzani moja ya majukumu ni kukosoa,kurekebisha na kuleta hoja mbadala kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa ssa kma lisu alitaka tuanze na sheria au tuanze na migodi kabla ya makontena je usaliti wake ukwapi?? Mbona kati ya mapendekezo ya lisu almost mengi hata professor usoro kayapendekeza pia??? Hivi toka linj nchi nzima lazma muwe na mawazo na fikra moja??? Msaliti labda ni wakina chenge na yona ama ndugai waliopitisha sheria mbovu ya gesi na mafuta hao ndio wasaliti ila lisu ni mpinzani na ana haki ya kukosoa na kushauri anavyotaka kma ibara ya 18 inavyosema ssa yye usaliti wake ukwapi?? Hivi kusema tutumie plan B ili tusiibiwe ndio usaliti??? Je angesema ACACIA wameonewa ingekuwaje?? Je angesema magufuli kakosea kuanza uchunguzi wa sekta ya madini ingekuwaje???

Mkuu Bowie nakuheshimu sana sana hta kma tunatofautiana misimamo na itikadi na taniradhi kwa kutumia lugha ya ukali na kuudhi ila kwa hili litafakari upya je kivp lisu anakuwa msaliti wakati anatoa mbinu mbadala za kumshambulia adui huyo huyo mmoja????

Anywah nipe jibu moja tu mkuu je kudukua taarifa za siri ni LEGAL au ILLEGAL kwa sheria za tanzania

Ahsante
 
Back
Top Bottom