Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,772
Serikali, hasa katika utawala wa kiimla inaweza kufanya udukuzi!
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?
Zitto junior usipanic unajua serikali ya Marekani ilisharekodi mpaka mawasiliano Waziri Mkuu wa Ujerumani unajua watumiaji wote wa Google wako monitored. Tofautisha Watergate Scandal na huu udukuzi wa kisasa, ni unapomzungumzia Henry Kissinger unakosea aliyehusika alikuwa Richard Nixon na udukuzi wake ulikuwa wa kisiasa. Linapokuja suala la hapa mtu kama wakili maarufu anapoamua kum challenge Rais hadharani kwa lugha za kihuni wakati Rais ameunda tume maalum kuangalia maslahi ya taifa wewe unaonaje ? Serikali ina haki ya kuchunguza mienendo ya wakili huyo. Mimi binafsi ningemshauri Mheshimwa Rais Magufuli kama tuna aina hii ya mawakili it's better to revoke his/her licence.Sheria inasemaje??? Au tunafanya kwa mazoea tu???? Serikali ya marekani ilijiuzulu hili lilipogundulika kma utakumbuka aliyepona ni waziri kissinger peke yake sasa iweje wwe hukuliona hilo??? Je umeshasahau kashfa ya snowden na reaction za wananchi???
Marekani marekani kumbe unapotosha na watu wanakupa likes hi nchi ina shida sana
Kila kitu kinawezekana mkuu, watu wameweza fungua icloud washindwe social network ina nini cha maana?, wamemuingilia hadi kansela wa ujerumani waje washindwe telegram!..Hebhu rudia soma Snowden na wikileaks walichokileta mezani..Ni kwamba huko telegram hakuna kitu cha manufaa walichoona ndo mana watu wanakaa kimya..Only and only way yakuwa angalau secured ni through instant messaging Apps kama Telegram, Signal na kidogo WhatsApp bali njia nyingine wanadukua tu.
Telegram alitoa challenge kabisa atakae dukua anapata pesa ndefu tu ila hakuna alieweza 100%
Ni jukumu la kikatiba kwa serikali kuzuia na kudhibiti njama za kutenda uovu/jinai. Ikifikia hapo, mtuhumiwa wa kukiuka maadili ya wajibu wa kiraia hawezi kustahili haki ya kupewa hadhi ya raia mwema, mtiifu kwa nchi yake. Taarifa za mtuhumiwa zitadukuliwa tu.Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.
Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Nitafuatilia ila umesikia nani kadukua telegram? Unajua signal ni App ambayo snowdon ameipa credit? Unajua challenge imetoka yakudukua nahakuna mshindi? Acha habari zako , hao wadukuzi ni emails na mawasiliano ya simu sio encrypted Apps?Kila kitu kinawezekana mkuu, watu wameweza fungua icloud washindwe social network ina nini cha maana?, wamemuingilia hadi kansela wa ujerumani waje washindwe telegram!..Hebhu rudia soma Snowden na wikileaks walichokileta mezani..Ni kwamba huko telegram hakuna kitu cha manufaa walichoona ndo mana watu wanakaa kimya..
Uyo anaeweza Icloud napenda mjua kuna simu kibao zimeshindikana uku. Maneno watu wanaweza bila evidence siwezi aminiKila kitu kinawezekana mkuu, watu wameweza fungua icloud washindwe social network ina nini cha maana?, wamemuingilia hadi kansela wa ujerumani waje washindwe telegram!..Hebhu rudia soma Snowden na wikileaks walichokileta mezani..Ni kwamba huko telegram hakuna kitu cha manufaa walichoona ndo mana watu wanakaa kimya..
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?
Proof?Kipindi flani cdm walidukua miamala ya Zitto kabwe hii ilikuwaje kisheria?
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?