Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.

Mkuu hapo ndipo tunapotakiwa tuzidi kumuombea na kumuheshimu Melo
 
Kwanza nianze kwa Watergate Scandal Henry Kissinger hakuwa insider circles wa Rais Nixon kwahiyo yeye binafsi hakujua wala kuhusishwa na Watergate Scandal waliohusishwa mfano Chief of Staff, National Security Adviser na Attorney General na wote walishitakiwa, sababu kubwa ya Rais Gerald Ford kumteua Henry Kissinger kuwa waziri wa mambo ya nje ni baada kuona hakuhusishwa na scandal hiyo. Mimi sikutoa maelezo ya kupotosha hoja hiyo ya Watergate.
Kuhusu hii mikataba ya madini mie naungaa mkono mtu yeyote aliyekuwa anapinga mikataba hii mibovu lakini kiongozi mkuu anapochukua hatua nzuri hatuna budi kumuunga mkono ni vibaya mwanasheria aliyebobea kumpinga hadharani Rais wakati Rais huyo anatekeleza alichokuwa akidai mwanasheria huyo. Alichotakiwa kufanya mwanasheria huyo ni kusubiri matokeo ya uchunguzi ndio atoe maoni yake.
Udukuzi ni muhimu kwa maslahi ya taifa na ukitaka kujua udukuzi unasaidia sana kufichua uovu, magaidi, wauza madawa ya kulevya ni miongoni mwa watu walishakamatwa baada ya udukuzi wa simu zao kufuatiliwa.
Naomba nikuulize kwanini kulikuwa na mawasiliano baina ya mwanasheria huyo na Acacia kama hazikuwa mbinu za kuingilia uchunguzi wa tume.
Kuhusu mimi nawewe kumpingana itikadi hiyo sio tatizo ila unabidii uelewe Demokrasia sio lazima usimamie itikadi yako, leo Rais Magufuli anachotekeleza ni kiu cha mabadiliko watanzania waliitaka kwa muda mrefu pamoja na majanga haya yaliletwa na viongozi wa CCM waliomtangulia.
Mkuu all in all watergate scandal si ilimtoa rais au uongo??? Sasa si inaonyesha udukuzi ni illegal???

Hata hao wauza unga huwa hawaambiwi walidukuliwa mahakamani ila huwa kesi ikifika mahakamani ndio serikali inaomba mahakama iruhusu wapatiwe nakala ya mawasiliano yao kwa simu ila thr is no way utasema nlidukuwa simu yako nikagundua wwe ni gaidi hilo halikubaliki kisheria !!! Na ndio nachotaka kukuelewesha kuwa UDUKUZI SIO HALALI KISHERIA na naomba ieleweke hivo.

2. Unapotosha je ni wapi rais kasema lisu aliwasiliana na kamati??? Rais anadai alimuomba data mwanyika ssa kuomba data za mikataba ya kitaifa ni dhambi??? Kwani hyo mikataba ni siri kiasi gani kwamba lisu akiomba nakala inakuwa uhalifu???

3. Sikatai magufuli kashughulikia ila je kwani ndio exactly alivotaka lisu??? We unaona sawa tunazuia mchanga huku bado dhahabu insafirishwa??? Hivi ni akili kweli ya PhD holder?? Mchanga una thamani kuliko matofalu ya dhahabu??? So sad afu watu walipiga makofi ssa kivp lisu kakosea kutoa maoni mbadala??? Lisu mbona bandiko lake kapongeza mapendekezo ya kamati???

4.majanga hayajaletwa na ccm waliopita kafumu si yuko bungeni na je chenge hayupo bungeni na wote walikuwa kwenye kamati ya uongozi mpaka mwaka kafumu alipojiuzuru..... sasa nikuulize wwe unaona sawa magufuli kumuorder ndugai ashughulikie miswada ya gesi na mafuta wakati ni huyohuyo ndugai alihalikisha muswada ule unapita kwa hati ya dharura??? Kma magufuli yupo serious kesho tuone mkapa anaomba radhi na sio ACACIA pekee maana bila sisi waafrika kujiuza hao ACACIA wasingeiba kirahisi hivyo kwa namna yoyote ccm lazma ikubali huu mzigo na iombe radhi kwa kutufanya maskini kwa kuwafunga wote waliohusika lasihivyo zitakuwa ngonjera tu kma issue ya madawa ya kulevya ilivoisha
 
Simu hazina siri hata kidogo!kauli ya jpm imenifedhehesha sana.Haiendani na wadhifa wake
 
Please usi quote vibaya kwenye statement yangu hakuna mahala nimetaja jina la mheshimwa Tundu Lissu.
 
Basi samahani mkuu ila nlitaka tuwekane sawa kuwa UDUKUZI kisheria ni kosa na unaweza fungua mashtaka kabisa ya kuvunjiwa privacy na hii ndio sababu hta majina ya walioiba stanbic hayatajwi mpaka leo maana ni taarifa za mteja hivyo zinafanywa siri!!!! Unless serikali itoe order na itabako kuwa siri ya serikali sio public ssa wwe cjui inakuwaje unadai wanahaki kwa lisu ila kwa stanbic udukuzi hauna haki ama????
 
sasa wasipodukua mawasiliano..itakuwa nini maana ya serikali?Serikali ikiamua kukufuatilia inaweza kuanzia taarifa zako zote zamawasiliano hadi miamala yote ya pesa hadi wake na michepuko yote ulonayo

Saafi sana mkuu, serikali kisheria inao uwezo huo.

Lakini chadema walipokuwa wanagombana na Zitto Kabwe walidukua mawasiliana pamoja na miamala aliyokuwa akiifanya wakati kisheria hawakuwa na mamlaka hayo. Mleta mada, hii imekaaje!
 
Hii nchi yetu ina shada sana hyo sheria ikwapi inayosema mna haki ya kudukua??? Whistleblowers act uliisoma?? Je cybercrime uliisoma yote??? Kivpi sheria inaruhusu udukuliwe taarifa zako za siri?????

Hya kma serikali ina haki kivp ilibaniwa kupewa taarifa za stanbic kuhusu waliochukua pesa kwenye magunia???? Hivi mnajua maana ya privacy policy za kampuni au website kma jamiiforums?? je maxence melo si angeshakuwa ametoa username zetu original kitambo sana kma sheria inaruhusu udukuzi

Elimu elimu kwanza viwanda baadae
 
Basi samahani mkuu ila nlitaka tuwekane sawa kuwa UDUKUZI kisheria ni kosa na unaweza fungua mashtaka kabisa ya kuvunjiwa privacy na hii ndio sababu hta majina ya walioiba stanbic hayatajwi mpaka leo maana ni taarifa za mteja hivyo zinafanywa siri!!!! Unless serikali itoe order na itabako kuwa siri ya serikali sio public ssa wwe cjui inakuwaje unadai wanahaki kwa lisu ila kwa stanbic udukuzi hauna haki ama????
Mkuu mie sina chama ila naipenda sana Tanzania. Nilikuwa mstari wa mbele kwenye kuona mabadiliko makubwa yanafanyika nchini kwetu. Niliichukia sana CCM kwa matatizo iliyotuletea kwenye uchumi, lakini kila katika ibada yangu nilijua mwenyenzi Mungu hawezi kuacha watanzania milioni 50 wapate shida kwa ajili ya mafisadi wachache.
Rais Magufuli ameletwa na mwenyenzi mungu na ameonesha ujasiri ambao kwa mara ya mwisho alifanya Hayati Sokoine na Hayati J. K. Nyerere.
Kila mtanzania ana haki ya kumuunga mkono kiongozi huyu shupavu, mabadiliko haya hata mie kiuchumi yamenigusa lakini najua watoto na vizazi vinavyokuja watakula matunda ya maliasili zetu zilizopolwa na hawa mafisadi wachache.
Nakutakia mchana mwema bro.
 
Hajataja jina la mtu
Hajamtaja Lissu
Na inaonesha ni uongo maana kama ni kweli wangeweka hadharani mbona kina Kafumu wametajwa kabisa

all governments do that in the world when it comes to security. for your information when you are on your phone or computer you are naked from the eyes you cant see, and cheat yourself when you erase your message all mails, actually it is just out of your sight, when it comes to bank the same they know who owns what and from where.

If you are want true security dont use these things.

The economies of the world are controlled on remote basis and given you enough room to think you are in control, actually you are not.

So I don't expect an intelligent person not to be aware on this things and uses his phone or computer to issues like these.

I WONDER THE CALIBER THE PEOPLE ON OUR DISPOSAL.
 
Inaruhusiwa na kifungu kipi cha sheria? Watu mnatoa sheria kichwani tu, sheria inasema ni marufuku kudukua mawasiliano ya mtu na haijaweka exception, wewe hiyo yako umeitoa Zimbabwe?

Mbona hujaiweka hiyo Sheria na Vifungu vyake?
 
Isingekuwa vema kusema hadharini kwamba huwa wanafulia mawasiliano ya watu hata kama huwa wanafanya hivyo hata kwa usalama wa nchi yetu. Hiyo kumtahadharisha adui yako kubadli mbinu za mawasiliano. Mimi si mtalaam wa ukachero ila nafikiri uchunguzi wa kimya kimya utakupa taarifa zaidi.
Shikamoo kachero mbobezi kumbe mmeruhusiwa siku hizi kujitangaza??
 
all governments do that in the world when it comes to security. for your information when you are on your phone or computer you are naked from the eyes you cant see, and cheat yourself when you erase your message all mails, actually it is just out of your sight, when it comes to bank the same they know who owns what and from where.

If you are want true security dont use these things.

The economies of the world are controlled on remote basis and given you enough room to think you are in control, actually you are not.

So I don't expect an intelligent person not to be aware on this things and uses his phone or computer to issues like these.

I WONDER THE CALIBER THE PEOPLE ON OUR DISPOSAL.
They do that secretely but not legally.... all around the world its illegal to intercept one's call or any form of communication..... thats why we agree with the privacy policy even before openin an account on gmail or even JF.

Thats what people are trying to clarify here that its illegal to intercept communications..... however its legal after the governement takes formal notice to court and thereby issue a warrant to printout the full communication framework from mobile service provider if you think its legal then you should know by now snowden wouldnt be runnin from US??by now julian assange wouldnt be hiding?? Do u remember when merkel's phonecall was intercepted by CIA??what happened next ??

UDUKUZI is Illegal....... no wonder president nixon resigned from office acter the watergate scandal! But i wonder poor Tanzanians think its the government right to spy on its people???? Shame shame
 
Mkuu kwa watanzania hizi ni kelele cha chura unapiga, hawa jamaa vichwa ngumu wengi wao hawaelewi, hizi kelele tunapiga humu kila siku wao wanataka kwenda kwa mazoea, tatizo wengi watu wa zamani sana hawajaelimika na walio elimika wako brainwashed kufikiria they are better na mfumo wanaoufuata.
 
all governments do that in the world when it comes to security. for your information when you are on your phone or computer you are naked from the eyes you cant see, and cheat yourself when you erase your message all mails, actually it is just out of your sight, when it comes to bank the same they know who owns what and from where.

If you are want true security dont use these things.

The economies of the world are controlled on remote basis and given you enough room to think you are in control, actually you are not.

So I don't expect an intelligent person not to be aware on this things and uses his phone or computer to issues like these.

I WONDER THE CALIBER THE PEOPLE ON OUR DISPOSAL.
Serikali ya Tanzania inaweza kwenda kuomba mawasiliano (Yaani call logs ) kutoka Mitandao husika kwa kupitia mawakala wao (TISS) au wana watu wao ambao wanawapa hizo kitu.

Kuhusu swala la tapping serikali yetu haiwezi kitu na ndio maana hata kule kibiti hawajawahi jua nini kinatokea na lini kinatokea

Kwenye whatsapp serikali yetu haina uwezo wa kusoma mawasiliano au kusikia mazungumzo ya pande 2 labda upande mmoja uamue kvujisha mawasiliano

Tukija kwenye simu serikali yetu haiwezi bypass IOS passcode, FBI wenyewe walisumbuka hadi wakatumia hela sawa na bajeti ya Wizara fulani ili tu wapate kufungua hiyo simu

Mimi natumia simu na naweza fanya lolote sababu najua hawawezi nipata
 
Linda privacy kwa kutumia whatsapp call.
Speak Freely
WhatsApp Calling lets you talk to your friends and family, even if they're in another country. Just like your messages, WhatsApp calls are end-to-end encrypted so WhatsApp and third parties can't listen to them.
My friend end to end is a business language. Just Google vault 7 by Edward snowden you will understand. Technologies can decrypt anything. Be
 
Back
Top Bottom