Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

Mitandao ya simu kutoa siri za wateja, uhuru wa faragha upo wapi?

Inaruhusiwa kwa ajili ya National Security and Interest
Inaruhusiwa na kifungu kipi cha sheria? Watu mnatoa sheria kichwani tu, sheria inasema ni marufuku kudukua mawasiliano ya mtu na haijaweka exception, wewe hiyo yako umeitoa Zimbabwe?
 
Hapo ndipo ulipo udhaifu wa Cybercrime Act ya 2015. Nchi zilizoendelea, hakuna kutoa taarifa za mtu bila kibali cha mahakama ambako wapelelezi wanatakiwa wathibitishe kwanini wanataka kuchukua taarifa zako, hapa kwetu askari yeyote akiamua anaweza kuja kwako akachukua vifaa vyako vya kielekroniki bila hata sababu ya msingi. Makampuni ya simu yanalazimishwa kutoa taarifa pale zinapohitajika na polisi-kumbe utaratibu mzuri ingekuwa wanatoa baada ya polisi kuruhusiwa na mahakama.

Hatari iliyopo kwa sheria ya sasa ni vyombo vya dola kupekua watu kwa sababu zisizohusu utendaji wao kama wivu wa mapenzi, visasi, uonezi, n.k
 
Unafahamu maana ya uchunguzi kwa ajili ya maslahi ya Taifa? olembe, post: 21579698, member: 115977"]Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.[/QUOTE]
Unafahamu
 
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?

Mmeanza kujiaharishia na bado mtadukuliwa hata mkiwa mnakunya
 
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?

Kwa ajili ya usalama wa taifa mtu yoyote anaweza kudukuliwa
 
Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?

udukuzi unafanywa mpaka na CIA, FBI na kila mahali duniani, iwe tanzania kwa hii tigo, airtel na voda???

kuanzia mwaka jana may, mitambo ya kufuatilia nyendo za watumiaji imeletwa na iko TCRA, wakitaka kukufuatilia wanakufuatilia kwa kibali cha polisi, na unayemsema ndio rais wa nchi

ni kila mahali duniani, wasipokufuatilia serikali legally, kuna wahuni tu wanaweza kukufuatilia

njia rahisi ili yasikupata haya, hama dunia
 
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.
Hakuna haja kabisa hama,,kwani mtu akikutumia sms ukaja kunambia kakutumia au ukanionesha hiyo sms kuna haja ya kuwahusisha watu wa mitandao!!!? HAMA TU ASEE
 
Kama serikali ya Marekani ilifatilia simu za raia wake kwenye masuala ya ugaidi kwanini hapa simu za watanzania sio waaminifu zisifatiliwe kwa maslahi ya taifa.
Nimegundua watu wanashindwa kutofautisha "hiki ni kitambi na hii ni mimba" ndo mana wanasumbuka kutetea ujinga uwe siri
 
Ndio nasema walimdukua merkel but it was illegal na serikali iliomba msamaha kwa hilo..... nachotaka ukubali ni kuwa udukuzi wa mawasiliano SIO HALALI najua tunadukuliwa hta humu JF ila wanafanya kwa usalama wa taifa but ni siri yao tu ila kisheria hairuhusiwi ndio maana hta kesi ya lwakatare chadema waliomba ruhusua ya mahakama ili wakadukue mawasiliano ya mwigulu na genge lake bila hivyo mwigulu na zitto wangeishtaki chadema!!!

Kuhusu watergate henry kissinger alikuwepo mkuu acha upotoshaji na ndio maana nikasema serikali nzima ilianguka kasoro Henry kissinger mbona wabadili historia???

Kuhusu lisu sijaona wapi ni msaliti yeye ni chama tofauti na magufuli na kma mpinzani moja ya majukumu ni kukosoa,kurekebisha na kuleta hoja mbadala kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa ssa kma lisu alitaka tuanze na sheria au tuanze na migodi kabla ya makontena je usaliti wake ukwapi?? Mbona kati ya mapendekezo ya lisu almost mengi hata professor usoro kayapendekeza pia??? Hivi toka linj nchi nzima lazma muwe na mawazo na fikra moja??? Msaliti labda ni wakina chenge na yona ama ndugai waliopitisha sheria mbovu ya gesi na mafuta hao ndio wasaliti ila lisu ni mpinzani na ana haki ya kukosoa na kushauri anavyotaka kma ibara ya 18 inavyosema ssa yye usaliti wake ukwapi?? Hivi kusema tutumie plan B ili tusiibiwe ndio usaliti??? Je angesema ACACIA wameonewa ingekuwaje?? Je angesema magufuli kakosea kuanza uchunguzi wa sekta ya madini ingekuwaje???

Mkuu Bowie nakuheshimu sana sana hta kma tunatofautiana misimamo na itikadi na taniradhi kwa kutumia lugha ya ukali na kuudhi ila kwa hili litafakari upya je kivp lisu anakuwa msaliti wakati anatoa mbinu mbadala za kumshambulia adui huyo huyo mmoja????

Anywah nipe jibu moja tu mkuu je kudukua taarifa za siri ni LEGAL au ILLEGAL kwa sheria za tanzania

Ahsante
Kwanza nianze kwa Watergate Scandal Henry Kissinger hakuwa insider circles wa Rais Nixon kwahiyo yeye binafsi hakujua wala kuhusishwa na Watergate Scandal waliohusishwa mfano Chief of Staff, National Security Adviser na Attorney General na wote walishitakiwa, sababu kubwa ya Rais Gerald Ford kumteua Henry Kissinger kuwa waziri wa mambo ya nje ni baada kuona hakuhusishwa na scandal hiyo. Mimi sikutoa maelezo ya kupotosha hoja hiyo ya Watergate.
Kuhusu hii mikataba ya madini mie naungaa mkono mtu yeyote aliyekuwa anapinga mikataba hii mibovu lakini kiongozi mkuu anapochukua hatua nzuri hatuna budi kumuunga mkono ni vibaya mwanasheria aliyebobea kumpinga hadharani Rais wakati Rais huyo anatekeleza alichokuwa akidai mwanasheria huyo. Alichotakiwa kufanya mwanasheria huyo ni kusubiri matokeo ya uchunguzi ndio atoe maoni yake.
Udukuzi ni muhimu kwa maslahi ya taifa na ukitaka kujua udukuzi unasaidia sana kufichua uovu, magaidi, wauza madawa ya kulevya ni miongoni mwa watu walishakamatwa baada ya udukuzi wa simu zao kufuatiliwa.
Naomba nikuulize kwanini kulikuwa na mawasiliano baina ya mwanasheria huyo na Acacia kama hazikuwa mbinu za kuingilia uchunguzi wa tume.
Kuhusu mimi nawewe kumpingana itikadi hiyo sio tatizo ila unabidii uelewe Demokrasia sio lazima usimamie itikadi yako, leo Rais Magufuli anachotekeleza ni kiu cha mabadiliko watanzania waliitaka kwa muda mrefu pamoja na majanga haya yaliletwa na viongozi wa CCM waliomtangulia.
 
Leo wakati rais Magufuli anapokea ripoti ya makanikia amesema kwamba walifuatilia mawasiliano ya mtu ambaye alikuwa anawasiliana na mtu anayeitwa Mwanyika na kumuomba data, hii maanake ni kwamba serikali kwa kushirikiana na kampuni za simu zinaingilia mawasiliano ya watu.

Kwa lugha nyingine ni kwamba mitandao ya simu inatoa siri za wateja wake kwa serikali aidha kwa hiari yao au kwa kulazimishwa, je uhuru wa faragha ya mteja upo wapi? Na kwanini mitandao hii inakubali kutoa siri za wateja wao kwa watu wasio husika, kuna haja ya kuendelea kuwa wateja wa mitandao hii inayotoa siri za wateja wao?.

Hivi nyie mnajua mana ya Serikali. Ahhhhh. Duniani kote.
 
Bowie: Jibu swali, hivi toka rohoni mwako na uCCM wako ni kweli leo ndio unajua kwamba Taifa linaibiwa kwenye madini? Je, ninyi wanaCCM ndio leo mnaambiwa au mnasikia kwa mara ya kwanza kwamba Taifa linaibiwa madini? Mimi nilifikiri ninyi CCM ambao tumewaamini kwa muda mrefu tukawapa dhamana ya kutuongoza na kulinda raslimali zetu mngetuomba radhi sisi watanzania. Kuendelea kutuzuga kwamba mlikuwa hamjui ni kutufanya sisi watanzania ni wajinga wa kutupwa. Kweli maandiko matakatifu yanasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". Viongozi wetu wanatuumiza kwa sababu sisi hatuna maarifa ya kung'amua kwamba CCM ni wezi, na hakuna mwanaCCM mwenye uchungu na nchi hii. Angalia huyu naye wa jana, ripoti inaonyesha jinsi viongozi wa CCM walivyotuuza mchana kweupe, badala ya kuwashughulikia hao anaonyesha chuki kwa LISSU. Sasa LISSU anahusikaje kwenye haya madudu yaliyofanywa na serikali ya CCM huku tunaambiwa tuna usalama wa Taifa.
 
Nuck hakuna nchi hata moja dunia ambako Serikali hawadukui mawasiliano ya simu.

Magufuli amedai kuna mtu mmoja anapiga sana kelele wamenasa mawasiliano yake alikuwa anatuma meseji kwa Mwanyika, Je wamedukua mawasiliano yake? hii imekaaje kisheria wakuu? mtu anaweza kupitia text zako na kuzitamka hadharani bila kosa lolote?

Nuck hakuna nchi hata moja dunia ambako Serikali hawadukui mawasiliano ya simu.
Tena udukuaji uliotajwa na mheshimiwa mimi naona poa tu, km mtu anapiga pesa hata za wahalifu kisa tu ni msomi, wacha wamdukue ili na yeye ajue Serikali ipo mgongoni kwake.
 
Imedukuliwa ya Jemani kansela sembuse Lisu. Hata humu jamii mnadhani mmejificha? labda kama vidukuzi vyenu havina sirio namba. You are all NAKED when it comes to be 4 national security. Bila govt kudukua simu zenu security ipo wapi?
Sasa walishindwaje kudukua wizi wa madini yetu?
 
Naomba Tundu Lissu afuatilie hili jambo siyo dogo. Walikuwa wanatafuta nini kwenye simu ya Lissu? na Je, Privacy Policy hapo ikoje? Je, haya makampuni ya simu huwa yanatudanganya kusema kwamba taarifa zetu ni siri?
Kwa maslahi ya Taifa/nchi hamna kitu kinaitwa privacy. Na lissu ni nani asidukuliwe kama ana sabotage maslahi ya Taifa
 
NO PRIVACY.
Kasome cyber crime Act 2015, ambayo ccm walipitisha kwa maslai yao, inamruhusu mkuu wa kituo cha polisi yeyote kupewa taarifa zako na kampuni yeyote ya simu.

Back
Top Bottom