Kwa kua ni Tanzania hili litapita tu, hakuna anayejali, na watu wanasupport kua ni kwa ajili ya usalama wetu. Very stupid, its illegal, hii ni sawa na ku-support polisi kujichukulia sheria mikononi na kuua kwa kua tutasema pia ni kwa ajili ya usalama wetu.
Huu ndiyo ujinga hua siupendi, Rais amepatia mengi alivyotamka hili kanivunja moyo kabisa, hata kama wanatrack people's phones, hilo sio jambo la kutamka wazi, ni jambo la siri, haitakiwi kabisa kulitamka wazi. Data za watu ni muhimu sana zikawa private.
Ndiyo maana hua natumia software zangu mwenyewe kuchat, huu ujinga siwezi kudeal nao kabisa.