Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi
 
Haya ni mambo ambayo mtu huwezi kuacha kuyaamini. Ila CCM wakiyaacha yaendelee basi wajiandae kwa yasiyotarajiwa.

Hata hivyo, naamini CCM wataweka vijiti masikioni!!
 
Mleta mada asante kwa umbeya ubarikiwe nenda kachukue posho kwa aliyekutuma
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi

ccm hawaoni shida kuua watu ili kutekeleza matakwa yao ya kisiasa
 
Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere

Huyo mumeo nini??
Karibu kila unachoandika naona lazima umtaje.
Kama anakugeuza muishie huko huko humu tunataka watu tujadiliane vitu vya maana tu.
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha

viroba at work!!
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi
Povu la nini? CCM mmeishiwa sera sasa mnakuja na utapeli wa ufaidi! Kwendeni huko na picha zetu za kubumba!!
 
Zote hizi ni dalili za serikali inayoanguka. Sera ya elimu iliyotangazwa jana pamoja na katiba pendekezwa ni viashiria tosha vya serikali ama yenye akili ndogo au iliyochoka kufikiri. Hatimaye ni kuiangusha serikali yenyewe. Kupandisha gharama za digital communication ili taifa lisiwasiliane kuficha ujinga uliojazana kwenye documents za serikali ni sehemu ya indicators za failing state. Time will tell.
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi
Leo viroba vya Lumumba vinasukari?
 
Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere

Bisha kwa logic, inashindikana nn kum-plant mtu na akapigwa video ambazo amejifunika kininja na kutoa maneno ya kutisha?

Kwa ccm anything can happen!

Ni hatari sana kwa sababu mtaji wenu Ujinga sasa ni haba.
 
ccm hawaoni shida kuua watu ili kutekeleza matakwa yao ya kisiasa

Hujui usemalo mkuu,napia unaongelea ukiwa Dar Es Salaam,njoo huku Amboni uone mji ulivyozizima kwa hofu,kumbuka wanaokufa ni Watanzania wenzetu,si CUF,CCM or CHADEMA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Tanzani tunafanya maigizo na magaidi, hao ccm wanaosema ni magaidi ni majambazi, magaidi wakija hapa tz hakuta kalika. Wao hawatumii bunduki, wanatumia mabomu! Na hawajifichi vichakani wanakaa kwa hotels za maana na pia wana hit sehemu za maana na si vituo vya police. Wakihit mara moja itakiwa ni historia ya mwaka mzima, ulizia westgate narobi utawajua magaidi vizuri
 
Povu la nini? CCM mmeishiwa sera sasa mnakuja na utapeli wa ufaidi! Kwendeni huko na picha zetu za kubumba!!
Ungejua wanaokufa ni kaka zako na dada zako nadhani busara ingekuongoza,sasa una macho na wala huwezi kuona
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom