Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

na airtel nao wamepandisha bei za vifurushi
 
Nyambavu ww -----, ambae umekuwa mkubwa na ndevu ila akili bado bogus. Hivi siasa imeingia wapi hapo? Hio ni biashara na ndio maana wale wengine wakibanwa wanafunga maduka naww ndio unasupport

Acha usengerema we zwazwa gambazi kama serikali ina tujali kwa nini isitoe tamko kupitia wizara zake?Tatizo la maccm hampendi tuishi kwa raha kabisa kila siku mnatupandishia vitu bei wase.nge nyie!
 
Tumekwisha zoea ss watz, kelele nyingi kisha kimya...hakuna hatua zitakazochukuliwa
#only in Tz
 
Katika hii huduma kunà wizi mkubwa uliokithiri,unaweza kuweka salio ununue kifurushi cha intanet salio likaenda na kifurushi usipate,au unaweza kutaka kujiunga unaambiwa salio lako halitoshi. Yaani wizi uliojaa katika idara hii ni zaidi ya escrow
 
naunga mkono hoja,hii huduma inanuka ufisadi,inanuka wizi,inanuka ujambazi,inanuka unyonyaji,inanuka ujangili,inanuka udanfanyifu,inanuka uzandiki,na takataka zote zinazohifadhiwa kwenye shimo la choo
 
Nchi hii sharti makampuni ya simu za mkononi yaongezeke yashindane ili iwe naafuu kwa mlaji. Tukipata makampuni 10+ ya simu za mkononi itakuwa poa sana. Airtel wapo vizuri sana.

Aiseee kuna watu kila laini ina simu yake, kwa hizo kumi itakuwa majanga itabidi watembee na vikapu.
 
haya makampuni ya simu mimi nmeshayapigia sana kelele kuna wadu sijui huwa wanalipwa wanakuja kutetea. mimi tigo nliweka pesa nyingi sana kama salio. wameniibia karibia kila baada ya siku 2 wanakata tsh 200 mpka 250 . nami sijajiunga na huduma yao yoyote, nimewapigia simu hawapokei muda wote nawekewa music tu. voda hata ukifanikiwa kijuinga bundle hiyo bundle yake ni speed ya kinyonga au kobe inaisha hata hujatumia. airtel nao wameingia huko kwenye bundle zao wakati wao walikuwa wazuri kwenye bundle. na kwa sasa makampuni ya simu yameshusha size ya bundle pesa imebak ile ile... basi ili mradi wanatunyanyasa tu katika nchi hii yetu ya walalahoi.
 
CCM wajanja sana sasa hivi wanaitafuta kick ya 2015. Tulipigania hadi gharama za mitandao zikashuka.
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha
 
Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere
 
Naunga mkono wafungie hata vijiredio na vitv vitakavo jishughulisha na matangazo ka hayo. Ama kweli ccm ni zaidi ya unavyo ijua
 
CDM, CUF, NCCR wako makini sana ktk taarifa ambazo zinalenga kutoa mwanya kufanya uharifu kwa kivuli cha magaidi
 
Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere

kuna kitu kimoja nimeshangaa kuhusu yule gaidi namnukuu '' tulivamia kituo cha polisi bila hata ya kuwa na silaha yoyote na kufanikiwa kuua askari 6 na kuiba polisi''
inawezekanaje kuvamia mahali kama kituo cha polisi bila silaha na kusbabisha maafa hivyo, hata mwizi akivamia mahali anabeba silaha.

huoni haya matukio yako staged
 
  • Thanks
Reactions: BAK
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha

Kutapatapa Kama mfa maji! CCM itaanguka tu wapende wasipende; its a matter of time!
 
Back
Top Bottom