Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,504
- 42,576
Lowasa anakusanya pesa za kwenda ikulu, mnalalama nini?
Inaelekea hilo jina ukilisikia tu panakuwasha sio
Lowasa anakusanya pesa za kwenda ikulu, mnalalama nini?
Nyie si ndo mnaoshabikia Wafanyabishara wakandamizwe na serikali kwa kulipa kodi kubwa? Wacha mkamuliwe kisawasawa.
Na mpigwe tu si mmewachagua gambaz wenyewe haya ndio maisha bora!Nyambavu zenu wabongo!
Leo nimeshangazwa sana na Tgo, nimenunua kifurushi cha shilingin6000 cha internet naambiwa ni shng 7000 kwa GB 2 kwa wiki, halafu nilipoamua kunua nikashangaa wananiambia napata GB 1 ila 3500 nikabaki najiuliza kwanza kwa nini wanapandisha bei ya kifurushi bila taarifa maana kifurushi cha wiki ni 6000 na hii option ya kulazimishana nachagua 7000 kama walivyosema then inaibuka 3500 kwa GB 1 kwakweli tigo ni wezi sana. January Makamba anajua wanachotufanyia haya wakampuni ya simu sema atakuwa kuna namna wanamjali.Vodacom pamoja na Tigo Leo wameshangaza Watanzania, hii ni baada ya kupunguza muda wa maongezi pamoja na MB. Bado hawajaweka bayana nini kinachoendelea chini ya kapeti tumesubiri hata kutumiwa ujumbe ila hakuna kitu.
==================
![]()