Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Akili za mbayu wayu changanya na za kwako, achana na ujuha wa kukubali uongo na usanii wa hali ya juu, "Tumevamia vituo vya polisi bila ya kuwa na silaha yoyote na tumeweza kupata silaha mbali mbali yakiwemo mabomu."

Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere
 
Yule gaidi maarufu wa MACCM ambaye pia ni Mkuu wa kitengo chao cha ugaidi kishafanya vitu vyake kwa minajili ya kutaka kututisha Watanzania.

Povu la nini? CCM mmeishiwa sera sasa mnakuja na utapeli wa ufaidi! Kwendeni huko na picha zetu za kubumba!!
 
Yule gaidi maarufu wa MACCM ambaye pia ni Mkuu wa kitengo chao cha ugaidi kishafanya vitu vyake kwa minajili ya kutaka kututisha Watanzania.

mwigulu at work
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo hata mimi nililijua kabiaa hili ni tamko la ccm bt hakuna rangi wataacha ona
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi
Ni serikali hii hii iliyosita kuwachukulia sheria magaidi waliomtesa Ulimboka pamoja na no zao kuwekwa wazi. Unadhani watawaweza magaidi wasioonekana wala mtandao kujulikana kama mtandao uliomtesa ulumboka uliwekwa wazi na wakashindwa kuwakamata?
Kila kukicha ndugu zetu walemavu wa ngozi wanadhulumiwa nafai zao, mtetema kajitahidi na kuweka wazi wanaohusika (waganga wa jadi) na wakashindwa kuwachukulia hatua. Leo hii hawa watawaweza au ndio wanapoteza silaha za bureee.

Wao wasubiri kupambana na waandamanaji wasio na silaha hata za jadi.

Pia tunamshauri mzee wa uwekezaji atafute wawekezaji waje watusaidie ulinzi na usalama maana hilo nalo limetushinda
 
Akili ndogo sana hizi. Afu eti "Mchumi daraja la kwanza naibu waziri wa fedha" ndio think tank wa chama. Huu ni upumbafu.
 
makamba anapiga kampeni hapa watapunguza atatoa kauli ya kututetea baada mitandao watarudisha bei za awali alafu itaonekana yeye ndio kafanya bonge la kazi

hii nndio tz bana
 
Hujui usemalo mkuu,napia unaongelea ukiwa Dar Es Salaam,njoo huku Amboni uone mji ulivyozizima kwa hofu,kumbuka wanaokufa ni Watanzania wenzetu,si CUF,CCM or CHADEMA
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Unamaana mabomu na Risasi zikipigwa mahali ulipo wewe haiwezi kuwa propaganda?
 
Ungejua wanaokufa ni kaka zako na dada zako nadhani busara ingekuongoza,sasa una macho na wala huwezi kuona
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Chukua picha za magaidi linganisha na huyu anayejiita gaidi. Baado huu upande wa pili haiwezi kupuuzwa kwa hoja nyepesi kama zako. Hivi Ali zona kwa nini alipigwa risasi Morogoro
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha
Ni uamzi mzuri yapaswa tuunge mkono.
 
Unabii kwa CCM ni lazima utimie hata kama ulikuwa porojo kwa ikulu !
 
Mkuu mimi nimerudia mara 5 nikidhani nakosea.

Huu ushenzi mkubwa. Na hakikika nawambia VODACOM huu ni upuuzi mkubwa. Hamuwezi tuibia hela kijinga namna hii.

Yani mmeungana na CCM kutufukarisha wa TZ.

Kwani Kiongozi Wa Vodacom Ni Rostam Aziz Ambae Ni Mwanaccm Mtabaki Salama?
 
Kwa mtiririko wa suala lilivyo, ninaanza kuamini habari za Jericho. Hli ni tukio la kubumbwa kwa maslahi ya ccm.

1. Kama ni tukio la kweli, kwamba tanga kuna magaidi, kwa nini zitumike picha fake, za kubumba za zamani? Mbona wasiweke picha za tukio halisi? Picha fake zimeondoa uhalisia wa hili suala.

2. Watu wamejeruhiwa, sasa serikali inakataza waandisi wa habari kukutana na majeruhi, inaogopa nini kama si kuumbuka? Wangelikuwa hawa majeruhi ni wale "magaidi", tungesema wanazuia kuhojjiwa ili kutokuvuruga upelelezi unaoendelea. Kwa nini majeruhi ambao ndio hasa wameona kinachoendelea wanafungwa vinywa?

3. Huyu gaidi mkuu na vibaka wenziye, wanawezaje kufanya kampeni hadharani na serikali inawatizama tu as if hakuna inteligensia? Intelijensia hii huwa inanasa maandamano ya wapinzani tu? It sounds so lousy to be given that weight.

Magaidi wanajisema kabisa na sehemu waliko, halfu kweli matukio ya mapambano yanatokea kule kule Tanga. Hizi zi hekaya za Abunuasi hizi? "Usije ukaenda nyumbani kwangu, ukaangalia juu ya mlango, ukachukua ufunguo, ukaingia ndani, ukafunua wali uiopo mezani, ukala halafu ukaondoka bila kuosha vyombo wala kufunika".. Kumbe alitaka kumkomesha kadhi!.

Ccm kufeni salama mtuachie nchi yetu.

Wala hamtutoi kwenye wizi wenu wa escrow na ufisadi,

Katiba fake,

tume huru ya uchaguzi.

Mfumo wenu wa BVR,

Usifadi na mabilioni ya uswizi.

na huu ugaidi mnaoutengeneza, uishie kwenu huko huko. Ngoja muanze kuvuna matokeo. Wehu!.

Bisha kwa logic, inashindikana nn kum-plant mtu na akapigwa video ambazo amejifunika kininja na kutoa maneno ya kutisha?

Kwa ccm anything can happen!

Ni hatari sana kwa sababu mtaji wenu Ujinga sasa ni haba.
 
Yeriko nyerere si mjinga kama ww uliyedumazwa uwezo wa kufiki,dunia inaenda kwa utafiti.tz hakuna gaidi ni giliba tu.
 
Kanini ukiwa ccm uwezo wa kufikiri hupungua?.eti magaidi? Nchi hii inavituko.tumegundua hata usa walipandikaza magaidi.
 
huck muongo mkubwa wewe tena mzushi unayewasilisha uzushi usio na mashiko...habari zako za hivi punde uzitoe wewe tu hakuna hata media moja iliyozipata wala kubenea asizipate unataka kumdanganya nani? kafie mbele mzushi wahed wewe
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha

Kumbuka majambia ya cuf enzi za mzee mahita
 
Back
Top Bottom