Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kutapatapa Kama mfa maji! CCM itaanguka tu wapende wasipende; its a matter of time!

Wote tuna wish CCM ianguke lkn kwa matayarisho haya ya wapinzani haitawezekana

Kyela hatujawahi iona ruzuku ya CHADEMA na tumechangishana hadi tumechoka
 
Hivi Police wana Hand Grenades vituoni? za kazi gani,Au waliwawekea hayo Majamba wazi waende wakayachukue?
Hivi Magaidi wote lazima wavae yebo yebo?
.Kuna zaidi ya viashiria 4 ktk video hile kunifanya niamini kuwa ni Story ya kutengenezwa.
Some trust their power and Brains.But We will always trust the power of our Lord!!.Let them show us that they are powerfull and intelligent...But Mungu atawaumbua tu.
Akuna aliyejua kuwa ipo siku...Papaa Msofe.Chonji,Shikuba watakuwa wapangaji Segerea.Au Alex Masawe atakuwa kama digi digi no where to call home MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Tumeanza kuletewa habari za kitoto kabisa jambo lisilowezekana wanataka kulifanya liwe la kweli umbea mtupu.
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha

Mkuu nimeamni kwani natumia airtel na nimekuwa nikinunua 10GB kwa tshs 15,000 kwa mwezi. Jana nimeuziwa 3GB kwa bei hiyo hiyo. Nina mpango wa kuhamia voda bundle ikiisha
 
Akili za mbayu wayu changanya na za kwako, achana na ujuha wa kukubali uongo na usanii wa hali ya juu, "Tumevamia vituo vya polisi bila ya kuwa na silaha yoyote na tumeweza kupata silaha mbali mbali yakiwemo mabomu."

Warudishe pesa za uswiz na walete majina hapa tuwajue haki ya nani siku ccm ikiangukia pua wananchi wa Tanzania watayaona ya firaoni aliyokuwa yakifanywa na ccm .
 
Mbona mnalalamikia vodacom tu? Mmeshanunua bundles za tigo muone GB wanazotoa? Vodacom na tigo wanatoa GB sawa
 
WADAU,habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa ccm imeiagiza makampuni ya ccm kupandisha garama za data/internet ili kupunguza mwamko na elimu kwa wananchi katika mwaka huu wa vuguvugu la uchaguzi mkuu na katiba pendekezwa.
nia ni kuhakikisha garama za kupata infomation zinakua kubwa hivyo kumfanya mtanzania wa kawaida iwe ngumu kupata taarifa mbalimbali za mitandaoni kuhusu katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu.

pia tiss imeagizwa kuratibu propaganda mbalimbali za ku-divert attention ya watanzania kuhusu mambo mbali mbali yanayowahusu na kupeleka kwenye propaganda za kuwatia hofu wanannchi mfano mojawapo ni madai ya kuwepo kikundi cha kigaidi kinachoshambulia vituo vya polisi.
nawasilisha

Ujinga gani huu JF wanaruhusu uwekwe humu?
 
inasemekana moja wa magaidi alikuwa na kadi ya chadema na fulana ya M4C ndiyo maana chadema wanawatetea sana magaidi
 
Kama una sim mbili, sim moja Fanya ni ya Internet tu kwa kununua vifurushi vya bila kikomo then sim nyingine nunua muda wa maongezi kwenda mitandao yote, hapo ndio penye unafuu kwa sasa.
 
siku zote hizi mbinu zinaanzishwa na upinzani hasa chadema na cuf kuna wkt kila mkutano mkubwa wa chadema lazima kulikuwa kunatokea mauaji tangu Lwakatare alipokamatwa hatujasikia mauaji kwenye mikutano ya chadema alipouwawa jamaa waliokuwa wakimtumia walilalamika sana leo wameanza tena kulalamika nani asiyejua ukaribu wa Yeriko naSilaa na Mbowe nani asiyejua Yeriko na baadhi ya vijana cdm wameajiriwa na chama icho kupptosha mambo kwenye mitandao na pesa inatoka ujerumani milioni25 kila mwezi kwa kazi hiyo ndiyo maana moja wa gaidi kakutwa na fulana ya M4C
 
inasemekana moja wa magaidi alikuwa na kadi ya chadema na fulana ya M4C ndiyo maana chadema wanawatetea sana magaidi

Si tumewazoea maccm kwa upandikizi wanaweza wakawavicha matshirt ili waseme wanashirikiana chadema na magaidi, kaba walivyowadanyia CFU
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi

uoga wako tu .nchi ipo salama propaganda za kitoto tumezizoea.inakuwaje hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa halafu wanasema wananchi wasiwe na hofu .huu ni uongo mtakatifu wa vyombo vya dola
 
Kuna watu wapumbavu sana,Saizi nch iko katika khari mbaya kwa tishio la ugaidi,video zina sambaa mitandaoni, wapumbavu wengine wanakaa wananyumbulisha ujinga wa Yericko Nyerere na kutengeneza uzi mpya hapa Jf, sas ngoja waue mama yako ndio mtaacha hizi siasa zenu za kipumbavu hizi

Hata mtoto wa darasa LA kwanza hawezi kuamini hili tukio LA tanga limetengenezwa ili kuwapumbaza watu waache kujadili vitu vya msingi kama katiba wazungumzie huo ujinga hukumbuki babu wa loliondo.Hivi tukio gani waandishi wa habari hawaruhusiwi mpaka kwenda hospital I kuona hao majeruhi.wanatumia uongo wa kitoto sana
 
Tumeona picha za hao magaidi. Wewe bado una akili kama za Yeriko Nyerere

Mkuu Lizaboni. Unaweza kututhibitishia kwamba hizo picha tulizoonyeshwa ni za magaidi kweli? Mbona hakuna gaidi hata mmoja aliyepatukana akiwa hai ama amekufa ktk hayo mapigano? Umesoma taarifa ya Chagonja? Eti wananchi wakiona mtu mwenye majeraha au maiti watoe taarifa.....!? Mimi siyo mwana siasa, lakini ktk hili, maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Last edited by a moderator:
Suala la ugaidi hapa Tz ni filamu iliyotengenezwa muda mrefu tangu kipindi cha Nchimbi. Serikali kupanga mikakati na Hizi filamu ni kwakua inajiingizia fungu kubwa kutoka nchi za magharibi na Marekani.

Usishangae watu kuwekwa rumande hii film iliyotokea jana, na yule aliyejitangaza kuwa yeye ndie anaekipua eti kwa sababu watu wao wamewekwa ndani huu ni mpango wa kujitafutia umaarufu mkubwa kutoka ulaya na bajeti inazidi kuongezwa na kama ilizuiwa upande mwingine sasa wataitafuta kwa upande wa ugaidi
 
Back
Top Bottom