nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Kuanzia leo sina hamu tena na voda hata kama wakishuasha gharama zao,wahuni wakubwa hawa
Hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.
Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.
Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.

Ajabu sana tz viongozi wanafanya biashara na haya makampuni ya simu za mikononi ndio maana gharama zinaongezwa kinyemela viogozi wamekaa kimya.Jiulize mtumiaji atalazimishwaje kununua bando yenye muda wa maongez,sms na internet badala ya kupewa option achague huduma anayotaka kulingana na mahitaji yake. je ni wangapi wenye simu za kutumia internet?. je hiyo budle ya internet isipotumika zinaenda wapi, na sms zinazobaki zinaenda wapi kama sio wizi wa mchana ni nini.utashangaa unalazimishwa kutumia bundle ndani ya muda viginenvyo unaporwa bila taarifa hata kama hukutumia kutokana na dharura kwa mfano maeneo mengi umeme unakatika mtu hawei kuchaji simu yake na kuitumia matokeo yake anakatwa budle yake yote. huu ni wiziiiiiiiiiii.
Hao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.
Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.
Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.
Airtel nao washafanya yao vifurushi vyote vya siku utapata 10 Mb
Isijekua hii ni strategy yake ya kujipigia promo, ili akilitatua hili swala tumuone mkombozi sana, wakati ni mtu katekeleza majukumu yake!!