Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

airtel na zantel nazo ziko ktk mkandamizo ule ule na shinikizo kuu kutoka .... ili kupunguza kasi ya kupashana habari kwa jamii ya watanzania "they will never survives"at all the compression sent to them
 
"Nimeongea Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Prof. John Nkoma, kumuagiza azungumze na makampuni ya simu juu ya mabadiliko ya bei za bundles: ukubwa, ughafla na upamoja (mitandao yote).

Nimewaagiza pia watoe majibu kwa umma haraka iwezekanavyo. Makampuni ya simu hayapaswi kupanga au kuratibu kwa pamoja bei; tukigundua hilo limetokea ni ukiukwaji wa kanuni za ushindani wa soko.

Sheria ya udhibiti wa Mawasiliano haitupi nguvu (Serikali) ya kupanga bei, isipokuwa interconnection fees. Inawezekana gharama za uendeshaji, ikiwemo umeme, zinapanda, lakini hakuna kodi mpya ya Serikali tangu baada ya bajeti.

Huko nyuma ushindani ulishusha bei kwasababu hakukuwa na bei elekezi. Bado niko nje ya nchi kwa safari ya Kiserikali, lakini nimekuwa nalifuatilia suala hili kwa karibu.

Pia nimeongea na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom, Rene Meza, kuhusu suala hili leo asubuhi."

mwisho wa kunukuu..
 
Ahsante January Makamba, tusaidie bwana.

Ila nina wasiwasi km unaweza kuwakemea na vodacom maana ni shemeji zako hao???
 
Turudi Enzi za simu ya upepo tu... maana hizi smart phones very distracting na vifurushi vyao...kila saa notifications hata akili zitadumaa
 
Mtu anatolea tamko akiwa nje ya nchi. Hii nji bana! Si aagize manergament yake ikutane na hao MAKABAILA
 
Ahsante January Makamba, tusaidie bwana.

Ila nina wasiwasi km unaweza kuwakemea na vodacom maana ni shemeji zako hao???

Pia mkuu nkudokeze kidogo ongezeko la bei ya mitandao "kinyemela", "ni mkakati wa kukusanya hela kufanikisha uchaguzi/ ushindi wa chama kubwa" Usininukuu tafadhali........
 
Mods Pandisha Juu watanzania wapate mbadala,Chukua line ya zantel,Piga *149*15# upate bundle za bei rahisi na kupiga simu mitandao yote.Kwa wateja wa Blackberry kujisajiri piga *149*07# na kwa EzyPesa piga *150*02#(Kama sehemu hakuna huduma ya EzyPesa unaweza ukahamisha Salio kwenda tigo hapo hapo kwa wakala na ukachukua fedha zako.Mimi ni wakala nipo K/koo na Magomeni,pia kwa modem kusajili bundle tumia *149*07#.
View attachment 226628



 
Huyu jamaa hawezi tena maccm yote yameamia huku

​
15613_653096564817386_6270759628916491352_n.jpg

Hii ni laana.. anataka kumfr.. mwenzake..alafu sen..ge lingine linashangilia ..upuuzi
 
Kinachofurahisha ni kwamba hii inawatafuna mpaka hawa mazezeta wanaoishabikia CCM!
 
Ndugu zangu,tatizo la kukosekana ubunifu serikarini haya ndio madhara yake,tunalo shirika letu la TTCL.kama viongozi wangekuwa vizuri,leo hii tusingekuwa tunateseka na haya makampuni ya kitapeli.kila leo wanaweka gharama wanazotaka wao.please mh.january makamba fumua management ya TTCL.weka vichwa,mbona vijana wapo wengi sana na ni wabunifu mno!!

Kwa kweli wananchi tunaumia sana na gharama hizi za mawasiliano.
 
Ahsante January Makamba, tusaidie bwana.

Ila nina wasiwasi km unaweza kuwakemea na vodacom maana ni shemeji zako hao???

Ataweza ili kuonyesha kuwa tukimpa uraisi atafanya mengi, this is another political move ya kumjengea jina. Lets wait and see
 
Nashindwa kuelewa alitoa hili wazo la kupunguza mb ana lengo la kuboresha biashara ya kampuni au kubomoa kabsa maana nahisi huyu market manager ni kilaza wa kutupwa na usikute ni wale wale wa div five,kwa staili hii ni bora ntumie nhamie zantel na airtel.......voda wametuchoka sana
 
us3n93 mtupu, haya makampuni ya simu wanatuibia sasa yani kila kona mambo magumu,pumbavu sna hawa ccm @#&!#?$!!!.
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda😡

Hahahaaa hamieni airtel yatosha ndo mpango mzima.Et vifurushi vyote unapewa mb 8! *** VODA
 
Back
Top Bottom