Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,003
- 72,296
Hamia ZANTEL!!
Yaan hamna hata wa kuliongelea? ??
Hamia ZANTEL!!
Kweli mkuu, hatua iliyobaki ni kuchukua sheria mkononi!Kuna jamaa zangu wapo hapa ni kama 8 hivi wamepanga waende shop moja hapa town ya hii mitandao ya kishenzi ila sitaji jina nia na madhumuni wanataka kujua pesa zao zimeenda wapi maana waliweka vocha za buku kila mtu jana usiku na hawakujiunga na kifurushi chochote..leo wamekuta salio ni sh 3. Sasa endapo wakijibiwa vibaya na muhusika yeyote yule watakaye mkuta . basi wanashusha kipigo kuanzia customer care hadi manager. Na wameshaandaa mwandishi wa habari...maana tukiwachekea hawa watazidi sasa. Na wamesema wapo tayari kulala polisi.
Kuna jamaa zangu wapo hapa ni kama 8 hivi wamepanga waende shop moja hapa town ya hii mitandao ya kishenzi ila sitaji jina nia na madhumuni wanataka kujua pesa zao zimeenda wapi maana waliweka vocha za buku kila mtu jana usiku na hawakujiunga na kifurushi chochote..leo wamekuta salio ni sh 3. Sasa endapo wakijibiwa vibaya na muhusika yeyote yule watakaye mkuta . basi wanashusha kipigo kuanzia customer care hadi manager. Na wameshaandaa mwandishi wa habari...maana tukiwachekea hawa watazidi sasa. Na wamesema wapo tayari kulala polisi.
Nchi ya kitu kidogoHao vijana unaowategemea leo wote wamekasirika vifurushi vya bundle vimeshushwa zaidi ya asilimia 400 kwenye upande wa internet, wakati huo huo serikali inatuambia tuko kwenye ulimwengu wa science na technolojia kwa gharama hizi hatuwezi ku-afford hata siku moja.Mb8 huwezi peruzi chochote kwenye internet.
Waziri wewe ndio una dhamana na hili, in this you are out brother, tegemea hata maandamano.
Urais tegemea kura za ambao hujawakwaza kwa hili.
airtel.hawapokei cm za wateja wao
Mkuu vip saiv umekimbilia wapi maana na Airtel wameshafanya yao!?