Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda😡

Copy & Paste from WhatsApp friend!

Kwa ubora gani mlionao Voda mpaka mpunguze hizo MB?
 
Vodacom..

Mmeona kifurushi cha Internet hakina soko mmeamua kulazimishia kwa kufanya huu upuuzi.

Hivi inawezekanaje Kiwango sawa cha MB kikauzwa kwa bei tofauti???

Mimi sio mchumi lkn ninavyoelewa kuwa huduma ya 500 inapaswa kuwa tofauti na ya 1000...

Nyie mnapima kiwango cha MB kwa siku sio kwa kiwango cha fedha tena....


Kenge maji nyie.
 
Watanzania tumeshafanywa mazuzu wa kupindukia. Hawa wanajua hawatafanywa kitu, tutalalamika Mwisho wa siku tutaendelea kutumia huduma zao.

Lakini wanachofanya Vodacom sio fair, hawana huruma kwa wateja wao.
 
Vodacom katik kusom kote sijaon hat theory moja ya uchumi mliyotumia katka kupanga mgao wa mb na pia hamjaangalia daraja la chini ambalo lilikuwa linategemea 500 siku mbili kwa. Kifurush cha 250. Sasa nyie voda hii tuiteje kutoka mb 100 had 8 au ni persistant fall. Voda fanyen marekebisho bhana ila kama mmeridhka na faid tayar ipo mitandao pia mingine mipya. And kumbuka service yenu ni substitute kwamb ukipandisha bei wanamia kwa mwenzako. Mim ninaz lain 2 za voda ila kwa huu mwendo airtel am coming soon
 
Unlimited ni 700mb baada ya hapo kobe.shenz sana voda subirini impact ya huu uharo mlioamua.
 
Duuhh sasa kuchat ishakuwa anasa...
 
MB 8 kwenye simu ya smartphone? du kweli hawafikirii, utakuwa unajiunga mara ngapi kwa siku? voda acheni utoto
 
Vodacom..

Mmeona kifurushi cha Internet hakina soko mmeamua kulazimishia kwa kufanya huu upuuzi.

Hivi inawezekanaje Kiwango sawa cha MB kikauzwa kwa bei tofauti???

Mimi sio mchumi lkn ninavyoelewa kuwa huduma ya 500 inapaswa kuwa tofauti na ya 1000...

Nyie mnapima kiwango cha MB kwa siku sio kwa kiwango cha fedha tena....


Kenge maji nyie.

Hahahahaaaa kenge majiiii???
 
Watanzania tumeshafanywa mazuzu wa kupindukia. Hawa wanajua hawatafanywa kitu, tutalalamika Mwisho wa siku tutaendelea kutumia huduma zao.

Lakini wanachofanya Vodacom sio fair, hawana huruma kwa wateja wao.

Mkuuu hapaa inabidi tuchukueee hatuaa vinginevyoooo watapata jeuliii hawaaaa
 
kuanzia mwanzo nilikua napinga hivi vifurushi. sikuona mantiki ya uwepo wake zaidi sana ya kuwa manipulative. kwanini wasiweke gharama standard ambazo ni reasonable na affordable kwa wateja wao kuliko kuwa na ofa zisizoisha kila siku. hapa ndipo utaona umuhimu wa kuwa na umoja wa walaji wa bidhaa na huduma.
 
mkuu movie 10 kwa 24 hrs kwa hiyo bundle si Kweli

mkuu sijui wanatoa bundle kiasi gani ila trust me sijaanza kudownload movies Leo unaweza ukadhani in utani lakin ndivo ilivo huwa Mara nying najiunga na intaneti bila kikomo ya Vodacom kwa sh 1000 tu.!!.nahapa nimeweka movies zingne kama sita zinaendelea kudownload tena zile zenye quality nzuri bro...!!
 
tigo university pack inanilinda nikirud mtaani nitakoma...nw kwa sh 1500 napata msg 15000..dk 150 na gb 1 kwa wiki.
 
Wajinga Sa hela wanazotangaz Mara jay 100 k
zko wap au ndo wamefirisika labda tujaribu smart watakuwa vizr
 
VODA MMESHINDWA KAZI
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb

Huu ni upuzi sn voda wanafanyia wateja wao, kitu safi Airtel Nomaaaaa
 
Back
Top Bottom