Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

Watu wana hamasishana kuhama Voda na Tigo na kwenda Airtel kutokana na kupunguzwa kwa MB.
Naunga mkono kwa nia moja kesho naachana na line zangu za voda nanunua airtel.

Tuliza mpira kwanza. Haya makampuni huwa hayakurupuki moja moja, huwa wanaingia makubaliano ya kupandisha kwa pamoja mara nyingi. Hama baada ya wiki, kesho mapema mno, maana nafikiri airtel wataunga tela si muda mrefu.
 
Makamba naye kamezwa hana la kusema kweli hii nchi imekosa viongozi wawajibikaji
 
Tuliza mpira kwanza. Haya makampuni huwa hayakurupuki moja moja, huwa wanaingia makubaliano ya kupandisha kwa pamoja mara nyingi. Hama baada ya wiki, kesho mapema mno, maana nafikiri airtel wataunga tela si muda mrefu.

Kwa hiyo wanakaba kote kote?
Makampuni ya mabepari(mafreemason) bhana
 
Voda pamoja na Tigo Leo wameshangaza wa Tanzania hii ni baaadaa ya kupunguza muda wa maongozi pamoja na mb.bado hawajaweka bayana nini kinachoendelea chini ya kapeti tumeaubiri hata kutumiwa ujumbe ila hakuna kitu.au ndo mapngo wao wa kupunguza watu hewani.
 
Jamani hivi huo mkongo wa taifa mbona mie sijaona faida yake.... Nilijaribu 071...nayo nikakuta Yale yale
 
Mda wa kusak hla za kampen vijana ebu tulien mnadhani bibj zenu na babu zenu vijijin tutawadangany na nn km sio kofia,khanga na vilemba...
Ebo bdo utamu wa kuwafany misukule unanoga uuuuh!
Maisha bora kwa kila.....pack cmu dirishan subir kampen iishe
Jibu moja tu la ndio mzee.sawa??!...
 
Mda wa kampen huu ebu mtulie kwnz tukusanye hla za Tshirt,kofia khanga na vipeperushi...
Ebo!.. vijana wa dot com mbn mnafujo?!
 
Mda wa kampen huu ebu mtulie kwnz tukusanye hla za Tshirt,kofia khanga na vipeperushi...
Ebo!.. vijana wa dot com mbn mnafujo?!

Kwani hela mnazouza kadi haziwatoshi mpaka mtuibie wananchi.
Mnakula laana kwa dhuluma zenu, hovyo kabisa na liccm lenu. Puuuuh.
 
Back
Top Bottom