Mitandao ya kijamii na dada zetu

kama mnabadilishana pesa kwa mwili unasemaje pesa za bure wakti huduma imeuzwa hapo. hakuna cha bure dunia hii.
 
yaani siamini mtu anaweza kuomba namba leo, na huyu mkaka alivyo mwepesi katoa chapchap na mzinga juu siku hiyo hiyo.

Hata mi nashangaa sana na wengine actually humu wanaona ni sahihi kabisa kutoa namba kirahisi hivo....labda im the wierd one!
 
Hata mi nashangaa sana na wengine actually humu wanaona ni sahihi kabisa kutoa namba kirahisi hivo....labda im the wierd one!

wanaume wa sikuhizi wamekuwa wepesi sana na wanatongozeka kirahisi. kutembeza makojoleo yao hawaoni tabu.
 
Kimsingi nimekuelewa ila thread kuna wakati kama zinajichanganya kwa nature ya watu walivyo.

kuna mwingine anakuja na thread eti hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume hapa panashingaza kidogo, kwa sababu mimi nakaa hotel mara nyingi na wanawake tofauti ambao sina wala sihitaji uhusiano nao kimapenzi na tunadiscuss business manner na kula pamoja tu.

Labda nilikigunduwa kuna wanaume labda hawajielewi au hawajui wanahitaji nini na bado Wabongo tunahitaji kupigwa msasa kuwa na know how ya social network.
 
Naona umenikurupukia tu, ila ungeanza kwa kumshauri mwanaume mwenzio
 
kama mnabadilishana pesa kwa mwili unasemaje pesa za bure wakti huduma imeuzwa hapo. hakuna cha bure dunia hii.

UUzaji na ununuaji katika biashara ya ukahaba ni dalili tosha kujiruhusu kununua au kuuza ukimwi. Mazoea hujenga tabia, na pale mtu akishakuwa na tabia yake kujirahizisha kwa ngono anakuwa amejirahizisha pia kwa uwezekano wa kupata ukimwi.
 
Naona umenikurupukia tu, ila ungeanza kwa kumshauri mwanaume mwenzio

Haina maana niliyoandika yanakuhusu wewe, ila hapa tunajaribu kuwakumbusha wenye tabia hizo na mbinu wazitumiazo. Kinachofanyika hapa ni kuwaasa kuachana na tabia ya kutaka vya bure maana ni utumwa.
 
Usitoe namba ya simu kwa mtu usiemjua. Kuna majinga mengine yanatoa no visa/master card mitandaoni! Siku hizi scamers wanaweza translate lugha kupitia search ingines. Ukitoa tuu unajuta kuzaliwa,kuna cybercrimes za hali ya juu sana hasa kwenye e-commerce.
 

jamani Matola unaitwa na lusungo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…