Baadhi ya binaadamu(tena wachache) ni wepesi kusahau kuwa unapoishia uhuru wa mtu mmoja ndipo unapoanzia uhuru wa mtu mwingine. Tukiacha kufikiri kwa kwa matumbo tutajikomboa!Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.

Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
Bwana yesu apewe sifa, wote sema amen!. Jamani binafsi nampongeza rais kwa kuwa mzalendo kwa nchi anayoiongoza, kama binti yake mwenyewe anasoma hapa nyumban. Jamani tujaribu basi kuwaheshimu hata wanaotuongoza! Kwan yeye rais kasema nin kuhusu watoto wetu/dada zetu walio fail? Kwan yeye alie fail hatakiw ku fail kisa ni mtoto wa rais? Ama yeye ni malaika? Au huu mtandao watoto wamezidi? Au wengi hawana shule? No, tubadilike, na tuache tabia ya kusakama maisha binafsi ya mtu!
Editorial page ya Tanzania Daima haiwezi kumtetea Kikwete hata siku moja, hili ni dongo kwa Rais na mwanae lililojificha, veiled attack. Mwandishi ni mtu mahiri sana, very shrewd critic.
Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
kwa kidhungu wanasema like faza like mwanaasha.Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
wanamchafua au wanasema ukweli?
Hakuna anayekulazimisha umusifu, tunachozungumzia hapa ni kwa nini atukanwe hata kwa mambo yasiyo na tija kwa taifa na hayahusiani? Kasome Tanzania Daima la leo unaweza kupata mantiki ya hii thread!
wapo waliosema mtoto hana akili kama baba yake. Hii sio sawa mbele ya haki.
mtoto hana shida ya umemeNani kasema ubongo wa watoto wa Marais uko tofauti na watoto wengine?
..kuna huyo mmoja anaitwa ali nae ni mzito wa kuelewa tena sana.....kwa kuwa wako botswana