makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
Mama Porojo,
Nimekubali kweli wewe ni mama wa porojo! Please hebu acha porojo zako.
Rais anahusika moja kwa moja na matokeo mabovu ya mtoto wake. Yeye na Serikali yake ndiyo waanzilishi wa mfumo mbovu wa Elimu ya MMEM na MMES ambayo hakika ume-prove failure. Mimi napingana na Mhariri wa Gazeti la Tanzania Daima moja kwa moja.
Ufaulu wa matokeo ya Kidato cha 4 mwaka jana ni asilimia 53! Kwa maana kwamba asilimiia 47 wamefeli(Div 0). Hii kwa hesabu za makadirio is almost 50 pc!!!Ni kweli Mwanaisha Kiwete hajafeli maana amepata DIV.VI na yuko kati ya ile 53. Lakini kulingana na Shule aliyokuwa anasoma ilitegemewa apate DIV1 au 2. Yawezekana elimu ya msingi ya mtindo wa MMEM aliyoingia nayo pale Sekondari ndiyo imem-cost.
Bila shaka matokeo ya Mwanaisha yasingekuwa issue kama UFAULU WA VIJANA WA FORM IV mwaka jana ungelikuwa mzuri kwa nchi nzima. Lakini watu 47% kupata 0 siyo jambo la kawaida. Lazima huu udhaifu usemwe ili watu wabadilike kuanzia kwa Rais, Wizara ya Elimu na Mafunnzo ya Ufundi, Baraza la Mitihani(NECTA) na viongozi wote wazembe.