PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Shamba La Bibi. Ndio Maana Mwaka Huu, Tunataka Kufanya Mabadiliko. Tuyangoe Haya Manyangau.
hii sekta ya nishati kwanini matatizo hayaishi?
Mitambo ya kinyerezi ni mipya kabisa hapo nasema ukweli nimeiona mwenyewe lm 6000 PF ulimwenguni ipo Tanzania na marekani pekeeeFundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Hata Space Shuttle ipo marekani tu lakini nayo ni kuukuuMitambo ya kinyerezi ni mipya kabisa hapo nasema ukweli nimeiona mwenyewe lm 6000 PF ulimwenguni ipo Tanzania na marekani pekeee
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Tanzania kupitia serikali ya CCM haijawahi kununua mitambo mipya hata siku moja kwa hiyo hapo sioni ajabu.Cha muhimu tuipige chini oct.25 ili tuanzee kuona mitambo mipya ikiingizwa nchini.
Tanzania tumezoea kununua second hand na hela nyingine tunaweka mfukoni. Umesahau ndege ya rais? Umesahau radar? Umesahau kivuko cha Kigamboni? Na umesahau mitambo ya Richmond? Ni second hand mbele kwa mbele.Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Sheria ya kuagiza mitambo chakavu inatekelezwa. Sheeda nini baba?
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Tukinunua vipya bei yake mnaijua ?? Maana hamkawii kukokotoa mara hii ingetosha kununulia madawati mangapi sijui blah blah blah
Sikusikia, ndo maana nimeuliza. Si unajua wakati huu, mtu anaweza sema lolote.Ndo serikali wamesema hivyo na kuthibitisha au umeamua kumuamini huyo fundi?
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Mimi si fundi kweli. Kwa hiyo mitambo hiyo ni mipya na jamaa kaniingiza chaka?Kasinge Fundi aliye kwambia mitambo ni mibovu sio fundi na wala hajui taaluma ya ufundi,Kumbuka kuwa kunakuwa ni kipindi cha majaribio haswa kwenye hizo Site kubwa za umeme,so kitaalamu tunaita kipindi cha kutesti machine ha uwa haziend full load hii tu ni kwa ajili ya kufanya setting na either calibration,Hivyo basi ulicho andika jaribu kukifikiria mara mbili nikiamini kabisa wewe si mtaalamu wa umeme na hujui principle za commission