Haya ni madhara ya kushindia website moja kutwa nzima, yaani jamiiforums tu. Haya nenda kaangalie website ya PPRA
Kuuliza ujinga ?
Haya ni madhara ya kushindia website moja kutwa nzima, yaani jamiiforums tu. Haya nenda kaangalie website ya PPRA
Haya na mimi nasema pia kuna mzee anamfahamu Mlm.Nyerere anasema hajafa bado lile tulilozika ni sanduku tupu na Mlm.Nyerere mwenyewe yuko Msasani kwake na bado anaishi, halafu pia hata fisadi Lowasa niliambiwa kwamba bado yuko CCM na wala hajahama huyu tunayemuona majukwani na ukawa ni Mzee mmoja tu ktk Arusha ambaye anafanana naye lkn Lowasa mwenyewe yuko Dodoma!
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Hivi kwanin ufisadi mkubwa unakuwepo kwenye masuala ya uzalixhaji na upatikanaji umeme hapa tz km kumbukumbu zangu ziko sahihi???
upepo unavyozindi ndivyo tunavyomuona kuku alivyo kama alivyosema Lembeli
Kasinge Fundi aliye kwambia mitambo ni mibovu sio fundi na wala hajui taaluma ya ufundi,Kumbuka kuwa kunakuwa ni kipindi cha majaribio haswa kwenye hizo Site kubwa za umeme,so kitaalamu tunaita kipindi cha kutesti machine ha uwa haziend full load hii tu ni kwa ajili ya kufanya setting na either calibration,Hivyo basi ulicho andika jaribu kukifikiria mara mbili nikiamini kabisa wewe si mtaalamu wa umeme na hujui principle za commission
Kwan sikuna SHERIA ilipitishwa na bunge letu ya kununua vifaa chakavu hasa mitambo au Mimi kumbukumbu zangu sio sawa