Mimi si fundi kweli. Kwa hiyo mitambo hiyo ni mipya na jamaa kaniingiza chaka?
Mi ni mmoja wa commission team,hivyo ukitaka clarification nitaku assist
Hakuna uzushi! Serikali hii ya ccm mbn ni kawaida wao kununua vitu usedWatu kwa uzushiuzushi, unasema fundi mmoja kasema, mnaongea hearsay!! Kaa kimya kama huna ushahidi.
Mi ni mmoja wa commission team,hivyo ukitaka clarification nitaku assist
Halafu wanaopiga ni wale wale kama wizi hauwezi kudhibitiwa basi tupeane zamu ya kupiga ili kila mtu apate hata kama itachukua miaka mia!Jamani jamani!Halafu bado kuna wajinga wanaoendelea kuiunga mkono CCM kweli?
Kila manunuzi makubwa ya nchi hii lazima watu wapige pesa!
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
haya na mimi nasema pia kuna mzee anamfahamu mlm.nyerere anasema hajafa bado lile tulilozika ni sanduku tupu na mlm.nyerere mwenyewe yuko msasani kwake na bado anaishi, halafu pia hata fisadi lowasa niliambiwa kwamba bado yuko ccm na wala hajahama huyu tunayemuona majukwani na ukawa ni mzee mmoja tu ktk arusha ambaye anafanana naye lkn lowasa mwenyewe yuko dodoma!
Eti fundi mmoja kaniambia!!,, halafu unajiita GT,,,
Makubwa hayo!
Hivi tenda yake ilitangwazwa lini vile?
Hakuna uzushi! Serikali hii ya ccm mbn ni kawaida wao kununua vitu used
Mkuu bilashaka wewe ni mtaalamu..sasa embutufafanulie nini shida mbona kamgao kanazidi kuelekea uchaguzii!!!?
Naukishindwa basi nawe kamgao kaMasakata kamekupitia..
#baba ukawa