Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Makubwa hayo!
Hivi tenda yake ilitangwazwa lini vile?
yanayopigwa ni mengi mnayostukia ni machache
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
Ndo serikali wamesema hivyo na kuthibitisha au umeamua kumuamini huyo fundi?Fundi mmoja aliyefunga mitambo hiyo, anadai mitambo hiyo ni 2nd hand. Je serikali walitoa taarifa ya hali a mitambo? Je wanasema kwamba ni used? Kama walisema ni mipya, basi tushapigwa tena na tatizo la umeme litandelea kutuandama.
hii sekta ya nishati kwanini matatizo hayaishi?
Hivi kwanin ufisadi mkubwa unakuwepo kwenye masuala ya uzalixhaji na upatikanaji umeme hapa tz km kumbukumbu zangu ziko sahihi???