Mitaa gani nitapata pete ya uchumba ya bei rahisi DSM

Mitaa gani nitapata pete ya uchumba ya bei rahisi DSM

ushajitambulisha kwao? naona kama wataka kumvisha kwa siri siri.
 
Iv za pale M/city duka la Jewels ziko poa au feki?
 
Iv za pale M/city duka la Jewels ziko poa au feki?

zipo poa sana ila bei ndiyo itakuwa tatizo kwake, pale bei zao zipo juu tena wanauza kwa $ usd.
 
Kama mnaiga ya wazungu muige kwa ukamilifu. pete ya uchumba inatakiwa iwe na thamani kama unavyomthaminisha mwanamke wako hata kwa kutoa pesa zako zote bank. nunua hata yenye tanzanite kama sio diamond
Sio lazima yenye thamani, acha kuwaingiza vijana chaka! TBT
 
Mkuu kwani umeshakamilisha taratibu Za awali Kama vile kutambulishana makwenu? Ni vizuri Kama hujawa tayari ujipange la sivyo huyo sasa asije jikuta anavaa Pete ya uchumba Kwa muda mrefu wengine miaka hadi Pete inapauka! Kama uko tayari nenda Dar mjini mtaa wa Indira Ghandi Kule ndo iliko mahakama ya Vito ! Maduka mengi sana ya madini aina zote! Kwa dhahabu andaa laki kadhaa !
 
mkuu hizo huwa hazibadilishwi!!uliyovalishwa kanisani inakuwa na upako wa ndoa hivyo ukimbadilishia haitakuwa na upako!!

Kwa hiyo ikitokea mmoja kaipoteza inakuwaje? Au wote mmepoteza inakuwaje? Mimi naona Kama ni mapambo tu! Zi kupotea , zikibana /kupwaya, kubadilisha size ruksa ili mradi kisha unazipeleka kanisani kubarikiwa kisha mnakuja kuvishana popote Hata nyumbani !
 
Mm wa kwangu nmetumia sh. 25,000 pete nzuri hadi mwenyewe anafurahi!

Yani mtu utoe laki 2 ya pete ya uchumba tu?
 
Back
Top Bottom