Miswambwanda na harufu kali ni pete na kidole

Miswambwanda na harufu kali ni pete na kidole

Wakati vijana wa mataifa mengine wakijikita kwenye tafiti zenye kuleta mageuzi kwenye mataifa yao........vijana wetu wao tafiti zao zimejikita kwenye kujua ladha za wanawake wote duniani.......


Muda na nguvu ulizotumia kutafiti vitu vya kipuuzi na vyenye kudhalilisha wakina mama......ungevitumia kwenye shughuli zenye shughuli za kuboresha maisha yako.....hakika ungepiga hatua moja mbele......
 
Hahahaaaaa! Dogo umepinda!
Nasikia hata harufu ya mwili huwa sio njema. Naikia tu lakini.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Auntie umesikia wapi lakini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom