Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

Aliniuliza kama nina demu. Nikamwambia sina akadai ashawahi kuniona sehemu tatizo amenisahau jina. Unaitwa nani? Fid Q. unaishi wapi? gheto. Kazi yako nini?Mziki. Daz Baba ft Fid Q-mrembo namba 8

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Tutaishia kufia mabatani kama nzi kwenye glass ya bia #Fid Q-Siri ya mchezo.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
tulianza kama utani kushika microphone mkoni.mara rag ikasambaa kama ukimwi mitaa na tukawatoa nishai waliosema ni uhuni. mr 2
 
Usinione mi msela kisa jeanz zangu kata k,nshazama nazo hadi ikulu we muulze hata jk_ngwair.
Kuvaa suti na tai si ndo kupendeza,wengi washanyonga sana na wamelala ndani ya jeneza ngwair.
'vp unalipa jangwani huku ukmtegemea manani? Fa.
Itaendlea
 
yuleyule ni j na j ni yule yule wanga wekeni kikao kisha mnifanye msukule.domo langu ni hela linatoa ushaur wa bule ila ma mc wa bongo hampendi kwenda shule. pro j
 
Wasanii hawaogopi,kaunta,japo wine si cheaper,na bili inapokuja watu hugombea kulipa_fa.
Kama nikienda hadi november,hiki kiti ktabakh na nan? Iga tembo upasuke msamba ubaki ma maumivu kiunoni_jmo.
Kama huongezi fedha zangu chapa lapa_joh makn
 
Eti wanachonga kuna dem wa mikocheni uligonga.nasikia liyumba alisha gonga,ila nakuaminia mwanangu ni mtu wa kinga
nakunyonga mi simo.ila ganja labda zamani kdogo nilkwemo na ndo maana hadi leo bado znanpa msimamo
na mjanja hali madude zaid ganja
 
Unaweza kuwa marley ila usiwe bob kwa rudala wamemchokoza mwenyewe komando alikuwa kalala

Kwenye radio umejaza ndugu zako sijamsema dina sijamtaja fina ila nakuchana kwa vina kama noma na iwe noma
 
Eti wanachonga kuna dem wa mikocheni uligonga.nasikia liyumba alisha gonga,ila nakuaminia mwanangu ni mtu wa kinga
nakunyonga mi simo.ila ganja labda zamani kdogo nilkwemo na ndo maana hadi leo bado znanpa msimamo
na mjanja hali madude zaid ganja

Hold on. Hapo nadhani alikuwa anamwambia Dr.Levy
 
me sio michael sinywi guinness ila nina power mistari yangu ina soko kuliko biashara ya madawa najua mambo mengi naeza kumfundisha dingi mc number one mfalme wa mitaani wapinzani nawapiga vichwa kama zidane..r.i.p. LANGA
 
naita tax njoo utupeleke tukachek midudu ya kupiga mikas mtaa wakati tuelewane kabisa itatu cost sh ngap? buku tano,kwani hapa na pale ni mwendo wa hatua ngap.tuchangen bas tusipoteze wakati.lud we una sh ngap? buku 5,vencha bat .sa we na bat usiku
 
huu unakwenda wapi si bora ulale kesho unywee chai na chapati.asiye na kitu mi naona bara abaki tusite mbele tuka shikana mashati lud ee tuanzie masaki mchizi kapika sim et kuna bonge la paty.I.R.P GWEAR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom