Mimi natoka mbeya ukinichokoza tutaonana wabayahahaha sie tunasubiri isiwe ya kukopi na kupaste
Utakuwa ulisoma 5&6 Mawenzi Sec haa haa haaTID & Jaymoe - Girlfriend....
Ukimwona utamwona natural - siyo mpenda makuu
Ni mwenye tofauti kubwa - kuanzia chini mpaka juu
Mtoto ana mapozi - kiboko ya masista du
Na kila nikimtazama - nazidi kumpenda tuu
hii mistari tuuuuuu
ha haaa, huko mawenzi hata sikujui, lol!Utakuwa ulisoma 5&6 Mawenzi Sec haa haa haa
Kumbe na wewe umo...
Na usiache kumtizama ..haaa haa haa haaha haaa, huko mawenzi hata sikujui, lol!
ila hapo kwenye RED huwa napapenda mno, so romantic, lol!
Mimi nimo sana tu
kupenda kitu ni pamoja na kupenda kukifanya rafiki......Na usiache kumtizama ..haaa haa haa haa