Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
Nilianza kuvaa kaki kabla ya dokta slaa_langa
sema wewe Mkuu!mistari ya hako kajamaa hainaga mantiki,inaele elea hewan!
Soon natoa single ,stay tunedDu kumbe na wewe wapmo kwenye Hip Pop
Soon natoa single ,stay tuned
Super matimila nawatupa mkizila,Christopher NAUA kila mti wananiita MTIKILLER! by Songa.
namwona kama ana-force kipaji"Dunia tambara bovu nalidekia kwa shida,najaribu kui'solve bila kutumia four figure". "Umasikini unanipodoa bila kutumia cosmetics,daily unanizodoa unanivuta kama magnetics".
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
nilianza la kwanza,nilianza kusema hadithi sisemi tena,rap sirap tena,maovu yamejaa hakuna mema,naitwa zomba nataka kupiga dumba duniani ka motoni naota ndoto za peponi,namwona shetani,ananiuliza we nani,na unataka nini pesa na majumba ya kifahari,njoo nifuate mimi,ila kuwa makini,yooh naenda kwa kasi ila naona giza,wee naona giza,nasonga mbele litakalo liwa na liwe,nipo mwenyewe katikati mbele mbali nyuma mbali,nakutana na mambo mengi ili mradi hatari,unnyama night kali wakati hatuna kitu.......KWANZA UNITSONGA ni msanii wa juzi lakini nimetokea kumkubali sana dogolas,,anakwambia- "peleka ubaguzi wa rangi kwenye ufuaji wa nguo"..... au mstari mwingine "sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaidi endelea kuivuta"
nilianza la kwanza,nilianza kusema hadithi sisemi tena,rap sirap tena,maovu yamejaa hakuna mema,naitwa zomba nataka kupiga dumba duniani ka motoni naota ndoto za peponi,namwona shetani,ananiuliza we nani,na unataka nini pesa na majumba ya kifahari,njoo nifuate mimi,ila kuwa makini,yooh naenda kwa kasi ila naona giza,wee naona giza,nasonga mbele litakalo liwa na liwe,nipo mwenyewe katikati mbele mbali nyuma mbali,nakutana na mambo mengi ili mradi hatari,unnyama night kali wakati hatuna kitu.......KWANZA UNIT
Chorusnilianza la kwanza,nilianza kusema hadithi sisemi tena,rap sirap tena,maovu yamejaa hakuna mema,naitwa zomba nataka kupiga dumba duniani ka motoni naota ndoto za peponi,namwona shetani,ananiuliza we nani,na unataka nini pesa na majumba ya kifahari,njoo nifuate mimi,ila kuwa makini,yooh naenda kwa kasi ila naona giza,wee naona giza,nasonga mbele litakalo liwa na liwe,nipo mwenyewe katikati mbele mbali nyuma mbali,nakutana na mambo mengi ili mradi hatari,unnyama night kali wakati hatuna kitu.......KWANZA UNIT
safari ni ndefu,kama majeshi na mitutu,wazungu na na vikapu,wazima na wafu,Songa mbele Songa,
Ya uwezi kaa chonjo saa mbaya Mjomba,
Pesa yaleta Mvuto, Misukosuko, Pomoja na mabalaa yaliozagaa,
Nyuzi 360
...nini ujanja duniani zaidi ya kusoma...Chorus
Mimi msafiri bado niko njian
Sijui lini nitaafiika naulizia watu
Huko ninakokwenda Sijui lini nitaaafika
...nini ujanja duniani zaidi ya kusoma...