Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

Mapinduzi daima msimamo ka Che Guevara, usingizi ndugu yake kifo sipendi kulala,R.I.P Langa
 
Kisichoniua kinanikomaza kiaskari/unavyonichukia unadhihirisha me mkali...LANGA

kivipi niki wa pili na wakwanza hajulikani/wakili unakosa dili kwa stanza hatulingani..NIKI MBISHI

kama vita twendeni vitani/ hamtutishi tena na kubaniwa redioni/tunakwenda mtandaoni/ hatutegemei televisheni...ANTIVIRUS

najipanga mpaka nawaona wanga/ wanajichanganya wanaponiona jicho nyanya wanajua nilichotoka kufanya/ wanaulizana vp huyu kijana/...JCB

Sina kitu tamaa sina halafu simaind umaku/sihtaji kuandikwa na magazeti ya udaku...CHINDOMAN

tangu enzi za walawi matayo natoza ushuru..NIKK MBISHI

Nalia kwa njaa vigumu kuninyamazisha/machungu yamenijaa kapuku ngumu natapika...TAMADUNI

Wao ni masista du me ni boyfriend babu/ nawaacha hoi sionekani mtani sionekani club darasani ndipo nilipo...TAMADUNI
Itaendelea badae...
 
Gangster kabla sijabalehe,kaulize east zoo -ngwair.

Ni siku moja tu nililia/pale baba aliponitoka/na mzigo ulinpunguzia pale ulipogeuka nyoka. Ngwair.

Nimeamua kuwa pekeangu,nichape kazi/ nisaidie ndugu,mwanangu na mama mzazi. Ngwair
 
Hapo zamani za kale kabla ya ukoloni kabla ya kuja wageni, kabla ya wazungu kufika hata warabu, Afrika walimjua Mungu toka enzi za mababu, walimuamini Mungu kama ndio mwenye ulimwengu, na waliishi kama ndugu pasipo kuwa na vurugu, hapakuwa na kanisa lolote wala msikiti, walimuomba Mungu popote hata kwenye miti, walisali sala zao kwa imani yao ya miungu yao, wakapata kilicho chao wao na familia zao, .....................
AFANDE SELE Feat BELLE 9. Dini Zimeletwa.
Bonge ya Ngoma
 
kuna ngoma ya prof chemsha bongo ilibamba sn. Mwokozi niokoe niepuke hili balaa.
 
mkuu Deo Corleone na @figanniga jamani atuonani humu njooni tuliendeleze hip hop

Gangster kabla sijabalehe,kaulize east zoo -ngwair.

Ni siku moja tu nililia/pale baba aliponitoka/na mzigo ulinpunguzia pale ulipogeuka nyoka. Ngwair.

Nimeamua kuwa pekeangu,nichape kazi/ nisaidie ndugu,mwanangu na mama mzazi. Ngwair
 
Last edited by a moderator:
Stamina: Kama biashara basi mimi ni sanda nauzika hata bila ya promo.
Niki wa 2: Mbwa wa bosi ni bosi wa mbwa wengine.
 
Damu kwenye buti yangu,ganja kwenye kweye gari langu,nakodisha bunduki ila siwadhuru watu wangu,kilio changu cha kwikwi,na nina mkwanja kama Belhabou,WAJINGA WAJINGA MSINICHUKIE BILA SABABU_FA THE DON ,BINAMU,JAMES BOND UKICHOKA MUITE B.
 
Kuna raper mwenye akili
Na raper batili
Raper mwenye kisaka na siye kisaka dili
Tofauti ya raper wa kwanza na raper wa pili wa pili anataka u master kabla hajawa mahili. /Moko wa Miujiza
 
Tunataabika!tunasulubikaa! Mabaga fresh tumepigika aah aaah tumepigika! Tunasubiri kufa na kuzikwa aaah aah
 
ingekuwa vp ingekuwa vp ingekuwa vp ingekuwa vp.
Ingekuwa vp km Yesu angerud leo, je angemaliza bifu ya wazungu na waarabu?

Damu kwenye buti yangu,ganja kwenye kweye gari langu,nakodisha bunduki ila siwadhuru watu wangu,kilio changu cha kwikwi,na nina mkwanja kama Belhabou,WAJINGA WAJINGA MSINICHUKIE BILA SABABU_FA THE DON ,BINAMU,JAMES BOND UKICHOKA MUITE B.
 
ingekuwa vp ingekuwa vp ingekuwa vp ingekuwa vp.
Ingekuwa vp km Yesu
angekuwa hai dilrob na chief ramso angekuwa bongo!
angerud leo, je angemaliza bifu ya wazungu na waarabu?

Damu kwenye buti yangu,ganja kwenye kweye gari langu,nakodisha bunduki ila siwadhuru watu wangu,kilio changu cha kwikwi,na nina mkwanja kama Belhabou,WAJINGA WAJINGA MSINICHUKIE BILA SABABU_FA THE DON ,BINAMU,JAMES BOND UKICHOKA MUITE B.
 
tupa mawe ndani ya bongo dar es salaam ,tupa maawe kanda ya ziwa kitaalam, tupa mawe bado complex namwaga damu, tupa mawe njoo tujumuike kwenye karamu-ZAHRAN feat Complex
 
Haaaahah nakachaso kimtulinga piga umbeta manyau-nyau makalateka peleka ngalisa shavu hinhaaaah-hinhaaah!
ngangari-kijemedart kivagalanti kidontachipira ugokoni ndochi macho mbele mbele tooo-chi haina kontrola ngoma na posonga haiofii nguvu ya dola ngalinya nyengo sekela kitutenimsobe machela ndinga imetambaa na besela
haiko mukinga kula deo chaboluningagumza kimachinga nang'olo jambo abari jenero idawakosombile nungu sakuma mena pasopa wena eyoooh!
mikito mnato ngoma bado ina moto nzito zali zikijileta usifumbie macho nyendo za kiminyato kata mtalo chalo bongo miganda galo halooooh!
chizi chizi kakabidhiwa jalala la dampo patamu hapo hapa ndipo palipo vuka soksi kiatu kikabaki wajuba zali pokidali watu ngangari eeenheeh!
ngangari dona limevaa koti tatizo noti ngangari nyomi hazisanyi whu nyikani noma kafia Sudani hoheeh-haaheeh!

GANGWE MOBB-NGANGARI>>>naweza sema huu wimbo ni ecrypted vibaya mno,haijawahi tokea nyimbo incrypted kama hii.
 
mkuu Titans hii ngoma nouma hataree.
 
Last edited by a moderator:
Wale wakongwe wenzangu watakubaliana nami kuwa Hip Hop ya Bongo haikuwa nyuma katika mistari makini ,majigambo na style za kutisha. Kwa sasa wapo vijana wanaoweza kuuendeleza Music huu hapa Bongo ila kuna vionjo vinakosekana haswa matambo ya kipindi kile.

Hebu tujikumbushe tambo za enzi zile sio mbaya pia ukaweka tambo za mistari ya kipindi hiki.

Prof Jay (Nigger jay)-wimbo wa Funga kazi(HBC)

''Kwa Jay mtapata maneno makali na mengi ya kashfa mfululizo,
Iwe ni onyo na funzo,
Kwa wanye kelele pasipo uwezo,
Wanatumia vigezo,
Unataka kurap pasipo na nyenzo,
Hayo ni mambo ya chezo,
Kutokataa maelekezo wakati huna uwezo''

Imam Abas -wimbo mitaa ya kati
''Niguse bahati mbaya ,nikuumize makusudi''

Mr. II-Sugu (II Proud)-wimbo mikononi mwa polisi
''Afande anataka kilo,
Mfukoni mimi na zero,
Nazidi kuwa mwenyeji ndani ya sero,''

Simple X -wimbo Nawakilisha
''Natikisa bongo visiwani mpaka bara,
Nimekuwa kinara ,
Kila kitengo mi nang'ara,''

Endelea....
noma sana enzi zil mwendo wa tapes ukigusa radio ya dingi ukiweka kanda inamaliza betry
 
Simu zangu sinunui dukani ,simu zangu zote mazabe/ zenye ndogo thamani ili machizi wasiibe/wameiba sixty two ten,sasa nipo na blue on/wamenitoa finland sasa nipo japan,buzz ....19/sms zinakwenda wkt pesa imekwisha -Juma Mchopanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom