Mistari itumikayo katika kutongozea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mistari itumikayo katika kutongozea!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KakaKiiza, Dec 8, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Hii ni baadhi ya mistari ambayo utumika kutongozea:-
  Kwa wanawake waliokuwa katika umri wakuanzia 25.......na anakata kinywaji mambo huwa hivi...
  • Dada za kwako samahani sijui hapa naweza kujoin na wewe kama hautajali??
  Dada:Hapana wekaa tuu!
  • Habari za kwako mzima?
  Dada:Mimi mzima siju wewe!
  • Mimi sijambo,mhudumu tafadhali naomba Castle ya barrriiidi msikilize dada anakunywa kinyawaji gani!
  Dada:Hapana kaka nashukuru sana mimi ninacho kinanitosha!
  • Hapana Dada kwani ukinywa moja kutoka kwangu utagombezwa??Please bwana tafadhali sana mhudumu mletee kinywaji anachokunywa!
  Dada:Dah yani yani nilitaka kuondoka naenda kwa fundi unajua asubuhi gari iliniletea matatizo hivyo nataka kuipeleka!!basi naomba Heinken baridi tafadhari.
  • Ahaa pole nini tatizo lagari yako??Basi baada ya hapa kama hautajali nina fundi wa magari yangu naweza kumwambia aje aiangalie tatizo au sijui wewe unaonaje??
  Dada: Hata mimi sijui ila kama unafundi ntakushukuru sana!!
  • Dada wewe unaitwa nani??Mimi naitwa Rejao fingafinga marwa 25 na kazi nafanyia JF
  Dada:Mimi naitwa fasibuku AshaDii!kazi nafanya kazi Jamii saccos Nanyie za kwenu zipo wapi??
  • Dah swali zuri Sisi zipo mjini pale samora utakapo kuta kibao kimeandikwa DELL,Toshiba,HP zote ni office zetu karibu!!
  Dada:Vizuri nimefurahi kukufahamu...................
  • Waiter tuletee kama tulivyo naniitie mchoma nyama,vipi utapenda nyama choma?kuna mbuzi,kitimoto,kuku! sijui utapendelea nini??Mimi binafsi napenda Mbuzi!
  Dada basi wote tule mbuzi.................
  ......................mmh mbuzi mtamu......mwambie mhudumu aniletee heinken hii ya tano ya mwisho na sijui kama nta weza kudrive.......naninakwambia leo wewe utanibeba na mpaka unidrive mpaka home!!!!!
  • Usijali Fasibuku kwakuwa umeshakuwa usiku basi twende na gari yangu hii tutaipaki kwa walinzi wa ofisini kwetu usitie shaka!!...............ulisema unakaa wapi??mwenge?? karibu tunafika.......
  DADA:Ndiyo ila nasikia kuchoka unajua kuchoka!!......unajua kudrive vizuri sijui nani kakufundisha.......kwanini na mimi usinifundishe leo kudrive kama wewe..................


  watalaamu endelezeni.....
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,010
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Dada: Nipe buku tano nataka ninunue vocha,,make nimekuta miss call,,
  . Usijali,,nna hela kwe mpesa apa ,,,nakupunguzia ten kabisa.
   
 3. G

  Gud gud Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmh demu mchicha kama c maharage ya mbeya!!!
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,507
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dada: Dah halafu pale kwetu walinzi wananikeraga sana sipendi kama nini...ikifika mida kama hii huwa hawakubali kufungua geti
  . pole sana dada yangu mimi nakaa mwenyewe pale kwangu naingia muda ninaotak

  dada: dah! safi sana dear....kwa leo basi ntalala kwako
  . poa hakuna shaka dear twende tu
  Dada: Nioneshe bafuni bashi dear
  . unataka kuoga?
  Dada: njoo nikwambie dear...huku huku bafuni
  Poa ...mmmh dada umeumbika vizuriiiiii.......
  Dada: Jamani weeeee mtaaamuuuuu...dah! Aaaaaaaaaaaghh shiiiiiiiiiiiii ....mmmmmmmmmhhh.....Ass. As..Assaaaa...n ...nteee. Aaagh!
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah..KakaKiiza yaelekea upo safi sana kwenye hayo masuala! Wengine midomo ishakuwa mizito tayari!!
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,979
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Hapo hakuna mistari,pochi mbele hiyo.
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,525
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Nafikiri jamaa anatafuta somo!
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna ngoma nyingine haziangalii pochi, sasa hizo watu wenye midomo mizito tunazipataje?
   
 9. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo tu tayari nimejifunza kutongoza... Unakuwa mpole,dada dada nyiiingi,afu mara kaingia mtaroni.
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mkaka>>Unajua dada unabahati sana kkutana na mtu maarufu kama mimi THK DJAYZZ sema utakacho nitakupa
  Mdada>>Jaman kumbe ni kweli wewe ni THK nilikuwa nakusikia tu jaman !
   
 11. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #11
  Dec 9, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha dah watu nuksi....darasa tosha hilo
   
 12. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #12
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni namna ya kutongoza kicheche, demu mtamu hatongozwi namna hiyo. Na ndio maana asali ya nyuki wa ulaya sio tamu kama wa hapa kwetu, kwa kuwa wa ulaya hawaumi
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Una uhakika na hiyo maneno ya nyuki wa ulaya kutong'ata.............usimwage upupu kwenye issue za elimu kama hiyo kamanda!
   
 14. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  najua hapo hakuna kuchelewa mtu anapewa dawa ya sikio! Duh wanawake tuko hatarini kweli hatuko salama hapa duniani!
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Hii mistari ngoja niisevu kwenye kamchina kangu, inaweza kunifaa huko mbeleni, lol.........
   
 16. tobycow

  tobycow Senior Member

  #16
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wote mmeongea lakin cjackia mtajo kondom
   
 17. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  unaenda kutongoza huku umebeba kondom usipofanikiwa utaigeuza pulizo?
   
 18. K

  Konya JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  daaah!it sound like you did it yesterday, design kama ukawa unajirecord ivi.. we ni mkaree
   
 19. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Dada; Yaani leo hata sijui kinanitokea nini jamani...unajua mi huwa simzoei mtu haraka kiasi hiki......we nimekuzoea na kukuamini leo leo.......unajua mi nishaumizwa sana na wanaume ndo maana huwa sitaki kuwazoea tena na kuwaamini ndo kabisaa sitaki tena mie...nyie wanaume hamuaminiki......!!!!!!!!
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Tobycow we ndo umetoa point::
  Chonde chonde ngoma nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikifa uwezi sikia kabisa
   
Loading...