Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

I hope hao wanaowaandaa wa kwetu watakuwa wamesikiliza mzee hapo alipotaja nini wataka kusikia toka kwa washindani ili wachague.

nimefurahi kuwaona BLUE na mwimbo wao umenikumbusha enzi hizo kwao.

Ila mmmhhh nchi ingine waimbaji wa waingereza mmmh hata kama ni ya huko west, nchi hiyo kwani hawana waimbaji? inakuwaje hii?
 
let us see if pretta is a true fortune teller. She has put her money on miss Ghana to melt the top three spot.
 
hong kong was something i am loss of ideas she is going home emptyhanded.. Tz majaji hawatumii vigezo vya shindano lenyewe na ngono imetawala. Anayestahili hapewi labda awakatie mauno.
 
miss france anamwaga sera. kashindwa kujieleza miss filipo kaingiliwa na tepu. shame on them.
 
miss filipino kaumbwa akaumbika. asiposhinda basi mjue ni wanadamu wamemchakachua. majaji wamemkubali naona wanayabasamu. ghana anakuja
 
miss ghana ni chuma cha pua. nimependa meno yake. meupe kama theluji. speech yake imetulia. tatizo ana deep voice. miss brazil anaongea kireno
 
surely "i loved" the way miss Ghana alivojielezea
 
miss brazil anachoongea sikielewi lakini anaonekana anajiamini. mkarimani kafanya kazi yake. sikuambulia la maana
 
huyo mkalimani wa Miss Brazil sasa....mweee......
 
miss spain anakuja. miss tz lugha hukuzwa sana lakini hapa hakuna maksi za umombo.
 
jamani mbona kama nahisi Ghana anachukua........
 
Hivi ma miss wa TZ wengine wanakuwa tayari chuoni au bado?
 
Yaani hawa warembo wa top 6 wanafanania pia katika Timu za Soka za nchini mwao ukimtoa Miss Gilbratar🙂
 
miss Ghana lazima aingie tatu bora she deserves it
 
miss spain anakiimbo lakini yumo. tujifunze. miss Gibraltar anaelezea alivyoshtushwa na kupitia mlango wa mashabiki. Tatizo sasa hatapata kubebwa mara ya pili maana ni majaji tu wanaamua. She has two facial moles. one on the cheek and one on the brow. Maybe am seeing too much.
 
hivi kwa nini sisi tunang'ang'aniaga lazima wajue kiinglish. huyu miss brazil wala hajashughulika nacho.
 
Back
Top Bottom