Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,081
Huyo Mfilipino anastahili aisee....Kuna watu wameumbwa bana...
ni Brigitte Alfred LYIMO........karibu sana nyumbani mkuu.......
Huyu MTANZANIA MCHAGA katuangusha, ngoja tusubiri ya MTANZANIA MHAYA
Miss world-philipines ni m-cute,less make-up na simple,mf.mtindo wa nywele
miss Ghana-3 ni smart kajieleza vizuri mpaka majaji wakawa wanaangaliana na kukubali kwa kutingisha kichwa
ukiacha Ghana na Aruba(sudan kusini), miss Canada kajitahidi kuwakilisha vizuri watu weusi
bongo movie eeh kuna member mpya yupo Indonesia anakuja
Mi naona watanzania umri
pia unatuponza kwenye haya mashindano kwani yawezekana tunapeleka mabint
ambao hawajapevuka vizuri.Miss world now ana 23yrs sasa uliza wa
kwetu?haya na hao waliopita ilikuwa vp kama jana tu wema ndio kafikisha
25.je alipata umiss akiwa na umri gani.Kamati ya miss tz waache maslai
binafsi na kuwafanya hawa mabinti viburudisho.
[FONT=comic
sans ms]ki ukweli mpaka tupate mtu kama Hoyce na Nancy kwenye hizi
shughuli...........tutakaa sana........kuna tatizo kuanzia hapa
nyumbani........[/FONT]
mkuu.....umenimix kidogo hapo penye blue.........